Rais akikosea aambiwe ukweli hadi aelewe


Kwani Hadi sasa watakaokuja kuchimba madini ushawajua?..
Why unahisi watakuwa waarabu?

Informed decisions ni Jambo moja
Na execution ni Jambo lingine
 
Nimeshakusoma GT🤣
 
Labda anamaanisha mbuga za kwao huko Zanzibar.
 
Mungu akubari!!
 
Naona hii mikeka imekugusa, mkiteuliwa utendeeni haki uteuzi wenu syo mnajitutumua tu..

Nani alikwambia uchimbaji wa madini ni uharibifu wa mazingira? Je Tanzania ni nchi ya kwanza kuchimba madini? Huko shule mlikuwa mnafanya nn, Don't show off you're schoolless behavior.
 
Hii waki iweka vizuri kuna pesa mingi
Nawa shauri serikali ukiachana na kodi zitakazo lipwa kama kampuni ya uchimbaji
Serikali inatakiwa iwatoze pia kama watalii maana watakuwa wana chimba huku wana angalia wanyama na hii haiwezi kuwa burebure
Taarifa inasema TANAPA wamekataa madini yasichimbwe. Sasa kama taasisi yenye wataalam na yenye wajibu wa kutunza hifadhi za taifa inaona jambo hilo sio sahihi na rais asiyejua a,b,c,d za uhifadhi anasema madini yachimbwe ni wazi kwamba rais anatakiwa apunguziwe mamlaka ya kujiamulia tu mambo anavyoona yeye.
 
Kumbe ile 'Royal Tour' ulikuwa ni usanii, hakuna lolote alilo jifunza?
 
Si tayari ameshaolewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…