Rais akikosea aambiwe ukweli hadi aelewe

Rais akikosea aambiwe ukweli hadi aelewe

Mkuu una hoja dhaifuu, nadhani hadi The Boss anaona aibu kukusapoti pamoja na kujifungamanisha naye kwamba ni ndg yako ktk imani.
Hakika unatia aibu!.
Wewe humuelewi tu...anaongea Kwa kejeli...Kwa kinyume ....
 
Jmn Rais ndio kasema hvo yan Madini yachimbwe mbugani daah huyu maza najtahd kumkubali ila kila siku ananikata tu mpuuz
 
Hela zitakazopatikana zitakwenda kwenye miradi itakayowasaidia Watanzania na siyo kwenye mifuko ya mafisadi wanaoficha mpaka sh. Bilioni 7 majumbani mwao? Mimi langu ni hilo tu. Haya tuuze Ngorongoro. Kwa faida ya nani?

Kusingekuwa na ufisadi na upigaji huu wa kijinga na kihayawani, Tanzania iliyobarikiwa hivi ingekuwa mbali sana. Mama mpaka namhurumia yaani!
Hata mimi shida yangu kubwa ni hiyo aisee.

Ni aibu kwa misitu yetu yote hii bado watoto wanasoma wamekaa chini, madara hawana wanazomea nje.

Tatizo kubwa ni anasa za wanasiasa aisee.
 
Naona Braza Mkubwa The Boss, na wengine washaanza kupata somo, kwamba bila Spidi Gavana MAZA wetu atapiga mnada hadi misikiti na makanisa. Nafurahi kwamba sasa watu wameanza kufahamu kwamba, MAZA alitumia dini kufanya Divide and Rule, halafu baadaye akaanza kutusawazisha vizuri.

Hili hata baadhi yetu lilitukuta kipindi cha utawala wa BWANA YULEEE, alivyoanza hata mimi niliamini MASIHI amefika. Baada ya kusema tu kwamba "Wachagga wasubiri sehemu nyingine ziendelee kwanza" nikajua hapa tushapigwa vibaya.​


Tazama thread zangu zote hutakuta niliposema tumuunge mkono Samia Kwa kila kitu...sijawahi hamasisha aungwe mkono Kwa sababu zozote zile let alone dini au uzanzibari...

Naona umeingia kwenye mtego ule ule wa assumptions kuwa kama tuliunga mkono private sector babdarini basi tuliunga mkono DP world....hivyo ni vitu viwili tofauti...

Kingine nilisimama kupinga double standards ya wale wale waliounga mkono "authoritarian rule ya Magufuli" kuwa ndo hao hao waliokuja ku demand "democracy na free speech" wakati wa Samia...mfano Dr Slaa na Mwanakijiji....hapa kupinga double standards haimaanishi naunga mkono Samia awe authoritarian kama Magufuli....naamini unaelewa tofauti.....

Lastly...nilipinga na hata sasa napinga mtu kusema "Samia kauza bandari".. bila kuweka balance ya maelezo...ya Ni vipi ilipokuwa privatised Kwa TICTS na wenzao kutoka Hong Kong Kwa miaka 25 .before Dpworld...kuwa je tuliuza pia au ilikuwa "inaeleweka"?

Je hiki cha Dpworld ni kipyaa tofauti na cha Ticts na Hutchinson?...au same thing?...

You of all the people unaweza tazama tena threads zangu zote ..utafute wapi nimesema Samia apewe sapoti Kwa kila kitu Kwa sababu yoyote ile...
Kupinga double standards against Samia sio Sawa na kusema nimeunga mkono utawala wake blindly...vitu viwili tofauti kabisa ....naweza pinga ubepari lakini haimaanishi naunga mkono blindly ukomunisti....
 
Back
Top Bottom