Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Amechukua hatua gani hadi sasa dhidi ya fedha zilizomo mifukoni mwa mafisadi?Hela zitakazopatikana zitakwenda kwenye miradi itakayowasaidia Watanzania na siyo kwenye mifuko ya mafisadi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amechukua hatua gani hadi sasa dhidi ya fedha zilizomo mifukoni mwa mafisadi?Hela zitakazopatikana zitakwenda kwenye miradi itakayowasaidia Watanzania na siyo kwenye mifuko ya mafisadi
Aliitamka ndugu labda utakuwa ilikupitaUkileta hiyo taarifa tamdharau sana Magufuli.
Nahitaji kuthibitisha...Aliitamka ndugu labda utakuwa ilikupita
Hata mimi shida yangu kubwa ni hiyo aisee.Hela zitakazopatikana zitakwenda kwenye miradi itakayowasaidia Watanzania na siyo kwenye mifuko ya mafisadi wanaoficha mpaka sh. Bilioni 7 majumbani mwao? Mimi langu ni hilo tu. Haya tuuze Ngorongoro. Kwa faida ya nani?
Kusingekuwa na ufisadi na upigaji huu wa kijinga na kihayawani, Tanzania iliyobarikiwa hivi ingekuwa mbali sana. Mama mpaka namhurumia yaani!
Naona Braza Mkubwa The Boss, na wengine washaanza kupata somo, kwamba bila Spidi Gavana MAZA wetu atapiga mnada hadi misikiti na makanisa. Nafurahi kwamba sasa watu wameanza kufahamu kwamba, MAZA alitumia dini kufanya Divide and Rule, halafu baadaye akaanza kutusawazisha vizuri.
Hili hata baadhi yetu lilitukuta kipindi cha utawala wa BWANA YULEEE, alivyoanza hata mimi niliamini MASIHI amefika. Baada ya kusema tu kwamba "Wachagga wasubiri sehemu nyingine ziendelee kwanza" nikajua hapa tushapigwa vibaya.