Rais aliyekaa madarakani muda mchache zaidi

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
William Henry Harrison alihudumu kwa muda wa siku 31 pekee, mwaka 1841.

Mfahamu kidogo

William Henry Harrison (9 Februari 1773 – 4 Aprili 1841) alikuwa Rais wa tisa wa Marekani kwa mwezi mmoja tu wa mwaka wa 1841 hadi kifo chake. Alikuwa rais wa kwanza kufariki madarakani.
 

William Henry Harrison​



William Henry Harrison alikuwa Rais wa tisa wa Marekani kwa mwezi mmoja tu wa mwaka wa 1841 hadi kifo chake. Alikuwa rais wa kwanza kufariki madarakani. Kaimu Rais wake alikuwa John Tyler aliyemfuata kama Rais. Mjukuu wake aliyeitwa Benjamin Harrison alikuwa Rais wa 23. Wikipedia

Tarehe ya kuzaliwa: 9 Februari 1773
Mahali alikozaliwa: Virginia, Marekani (Berkeley Plantation)
Alikufa: 4 Aprili 1841, The White House, Washington, Marekani
Makamu wa rais: John Tyler (1841)
Muhula wa rais: 4 Machi 1841 – 4 Aprili 1841
Watoto: John Scott Harrison, Lucy Singleton, ZAIDI
 
He was a one minute man. Akiingiza tu kichwa, kamwaga ubongo
 
Shukurani mkuu
 
... lakini aliyefanya makubwa kuliko hao wengine wote combined! Ndivyo wanavyosema.
 
Ni pigo rais akifa madarakani
 
Wetu wa awamu ya tano, aliomba wananchi wampatie nae kumi kama watangulizi wake kasoro Nyerere, wakafanya hivyo, lakini nature ikamgomea!
 
Wetu wa awamu ya tano, aliomba wananchi wampatie nae kumi kama watangulizi wake kasoro Nyerere, wakafanya hivyo, lakini nature ikamgomea!
Dah kweli mkuu
Inauma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…