Rais aliyekaa madarakani muda mchache zaidi

Kipimo cha Muda ni idadi au urefu? Muda mrefu, muda mfupi na muda mchache na muda mwingi?
 
Kipimo cha Muda ni idadi au urefu? Muda mrefu, muda mfupi na muda mchache na muda mwingi?
Hapa ndo najua umuhimu wa kusoma ukibebwa kwenye magari ya njano.
Nimetembea kilometa tano kuitafuta st.kayumba
 
Sijaelewa angle ipi ulisimamia/lenga kuleta mada yako ila kwa ulichokileta hapa jukwaani ni kwamba Uganda ndio ina historia ya kuwa na maraisi walio kaa madarakani muda mfupi zaidi katika historia ya maraisi duniani.

Wa kwanza ni Bazilio Olara Okello aliyedumu madarakani kwa siku mbili pekee kuanzia 27 Julai 1985 mpaka 29 Julai 1985.

Wa pili ni Paulo Muwanga alidumu madarakani kwa siku kumi tuu kuanzia 12 May 1980 mpaka 22 May 1980
 
Dah hiyo nayo kali mkuu πŸ™ πŸ™πŸ™ Shukurani kwa taarifa hiyo
 
Dah hiyo nayo kali mkuu πŸ™ πŸ™πŸ™ Shukurani kwa taarifa hiyo
Sijaelewa kwa minajiri ya kwamba ulikuwa unaelezea kwa upande wa U.S.A pekee ama kwa dunia nzima? Kama ni U.S.A pekee upo sawa ila kama ni kwa dunia nzima yakubidi ufuatilie trend ya maraisi wa Uganda mkuu
 
Sawa mkuu nitafanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…