fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,497
- 2,911
Huyu wetu muhula wa pili kahudumu kwa miezi 4.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaelewa angle ipi ulisimamia/lenga kuleta mada yako ila kwa ulichokileta hapa jukwaani ni kwamba Uganda ndio ina historia ya kuwa na maraisi walio kaa madarakani muda mfupi zaidi katika historia ya maraisi duniani.William Henry Harrison alihudumu kwa muda wa siku 31 pekee, mwaka 1841.
Mfahamu kidogo
William Henry Harrison (9 Februari 1773 – 4 Aprili 1841) alikuwa Rais wa tisa wa Marekani kwa mwezi mmoja tu wa mwaka wa 1841 hadi kifo chake. Alikuwa rais wa kwanza kufariki madarakani.
Dah hiyo nayo kali mkuu 🙏 🙏🙏 Shukurani kwa taarifa hiyoSijaelewa angle ipi ulisimamia/lenga kuleta mada yako ila kwa ulichokileta hapa jukwaani ni kwamba Uganda ndio ina historia ya kuwa na maraisi walio kaa madarakani muda mfupi zaidi katika historia ya maraisi duniani.
Wa kwanza ni Bazilio Olara Okello aliyedumu madarakani kwa siku mbili pekee kuanzia 27 Julai 1985 mpaka 29 Julai 1985.
Wa pili ni Paulo Muwanga alidumu madarakani kwa siku kumi tuu kuanzia 12 May 1980 mpaka 22 May 1980
Sijaelewa kwa minajiri ya kwamba ulikuwa unaelezea kwa upande wa U.S.A pekee ama kwa dunia nzima? Kama ni U.S.A pekee upo sawa ila kama ni kwa dunia nzima yakubidi ufuatilie trend ya maraisi wa Uganda mkuuDah hiyo nayo kali mkuu 🙏 🙏🙏 Shukurani kwa taarifa hiyo
Sawa mkuu nitafanya hivyoSijaelewa kwa minajiri ya kwamba ulikuwa unaelezea kwa upande wa U.S.A pekee ama kwa dunia nzima? Kama ni U.S.A pekee upo sawa ila kama ni kwa dunia nzima yakubidi ufuatilie trend ya maraisi wa Uganda mkuu
Lengo ni kuelimishana mkuuSawa mkuu nitafanya hivyo