Rais aliyepinduliwa Niger aamrishwa kula wali mkavu bila mboga

Umeisoma kweli hiyo habari?

Umeambiwa analishwa mchele (haujapikwa) wewe unasema wali mkavu! Na wachangiaji wanapuyanga tu.

Watz ndo maana tunasainishwa tu mikataba ya kimangungo kwa uzembe wa kusoma na kuelewa.
 
hivi huyu mwamba kwani aliharibu nini kiasi hicho?


Jesus is Lord
Panahitajika kupitishwa bomba la nishati nchini Niger toka Nigeria kuelekea Nchi za Ulaya.

Nishati inagharama nafuu inaposafirishwa Kwa njia ya bomba.

Ikumbukwe,Nchi za Ulaya zinatafuta mbadala wa nishati toka Urusi baada ya kuisusia.

Waliwahi taka kupitisha bomba pale Syria toka Qatar, Putin akatumbukia jumla kikawaka,hawakupitisha.

Hapo Niger napo kitawaka kama Syria pasipotumika busara.
 
hivi huyu mwamba kwani aliharibu nini kiasi hicho?


Jesus is Lord
Hakuna alichoharibu chochote, Niger ni vita za kikabila na kikoo. Kuna ubaguzi wa kikabila hata Somalia cha mtoto.

Na Nigeria ni hivyohivyo, hakichelewi kunuka kwa ajili ya ukabila.

Hata jirani zao Libya ni hivyohivyo, wajanja wanatumia weakness hizo kujiwekea wamtakae kwa faida yao.
 
KIla mtu anaweza kusema atakalo katika habari hizi.

Jambo la msingi ni isis tunaona kapinduliwa kwa sababu ya uongozi mbovu.

Hatuwezi kuacha kuamini habari zilizokuwa wazi alafu tuanze kuamini habari za kusemwasemwa zisizo na mashiko yoyote.
 
Mbona kawaida sana hiyo, akimaliza asubuhi wampe mchemsho wa mahindi makavu yasiyo na chumvi ashushie na maji ya vuguvugu yasiyo na sukari
 
I wish our leaders (current and past) should be made to experience what we, walala hoi, have been experiencing for the past 62 years.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…