Rais aliyepinduliwa Niger aamrishwa kula wali mkavu bila mboga


Uwongo wa west jamaa hana mawasiliano na watu wa nje.yaani cm haezi tumia hata kwa akil ya kawaida hawaezi muachia awasiliane na watu kwan sio salama kwao
 
Umeisoma kweli hiyo habari?

Umeambiwa analishwa mchele (haujapikwa) wewe unasema wali mkavu! Na wachangiaji wanapuyanga tu.

Watz ndo maana tunasainishwa tu mikataba ya kimangungo kwa uzembe wa kusoma na kuelewa.

Kila habar mtu anachukua kma ilivo bila hta kuipima na upeo wake
Mara wali bila mboga
Mara uncooked rice
Mwisho ni la yy kutumia cm
Zote zaonesha uwongo
 
Wengine hata wali mkavu hawapati wakati yeye pes anaenda kunywa Chai Paris
 
Tuache kuwaamini Waniger tukuamini wewe kikongwe wa Unguja?
 
😁😁😁😁mbona sisi tunakula bila kulazimishwa ale bhana aache kulalamika
 
Huyu wa kwetu tukimpindua ntahakikisha anakula chips dume na juice ya ukwaju amna rojo wala tende
 
Yaaan yeye aashukuru hata anapata wali mkavu na izo pasta, je majority waliokuwa wakikosa hata cassava na fufuu mara moja kwa siku?
Umeambiwa anatafuna mchele usiopikwa kabisa, si wali mkavu
 
I just hope Rais mpya is not a puppet, wamezoea sana kutumia Africa kama shamba la bibi..

SMH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…