Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Duuh ko ilitokea bahati nzuri kwake mbaya kwao?Ni kuwa wenye nchi hawakumtaka ilitokea bahati mbaya akapewa fimbo
Inawezekana ndoto zako ni za kweli.Wakuu,
Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.
August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.
Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.
Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.
Endelea kusubiri!
DuhMkuu kuna operation imeshapewa next stage.. 'execute'.. itakuwa mixed feelings kwa wengi.
mkuu unaweza kana maneno yako[emoji18]Kwa hii Tanzania?
Sikubaliani nawe wala sikataliani nawe.
Mkuu hebu ukuje hapa sasa kuthibitisha hili, ni yeye.Tumia akili,
Yule mama wa mipasho akishika nchi Chadema kuchukua nchi itakuwa sawa na keserereka kwenye barafu za mlima K'Njaro.
MhhMama atapita tu kwa muda, yupo atakayechukua ipasavyo.
Sijawahi kulikubali Hilo neno la kipumbavu la Conspiracy theory. Nalikubali lisemalo lisemwalo lipo, Kama halipo laja.
Mkuu kuna operation imeshapewa next stage.. 'execute'.. itakuwa mixed feelings kwa wengi.
Tumia akili,
Yule mama wa mipasho akishika nchi Chadema kuchukua nchi itakuwa sawa na keserereka kwenye barafu za mlima K'Njaro.
Bado kidogo wakati muafaka wa kupiga utafika.
Kabisa!Mambo yanazua jambo
Nielekeze maana ya deep state mkuuNimeamini deepstate ipo.