Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Kifupi..Nielekeze maana ya deep state mkuu
Ni chombo tendaji kinacho jumuisha watu kadhaa ambao hufanya kzi kwa usiri wa hali ya juu, watu ambao wanaweza kuamua muelekeo wa nchi, nani ashike madaraka na kwa wakati gani. Utendaji wa hiko chombo unaweza ukajulikana kwa raisi ama usijulikane.
Utendaji wake unaweza kumhusisha raisi mwenyewe bila yeye kujua au huku akijua. Utendaji unaweza kuwa na mikono na nguvu kutoka nje kwenye madhehebu makuu ya kidunia unayoyajua iwe wazee wa novena/vatican au mpaka freemasons.
Ukienda kinyume na plani zao ndio hayo mambo ya execute yanaweza kujitokeza.
swali la msingi je hicho chombo tunacho hapa nchini? Kama kipo nani wahusika? Je wana plan nini juu ya hii nchi? Je raisi aliyepita hakuwafurahisha kwa jambo lipi mpka wam execute? Wanaplan kumweka nani? Na ili aje kutimiza yapi ambayo hayakutimizwa na aliyepita?