Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

IMG_0123.jpg

mimi nadhani hii itwafaa sana watanzania kwa wakati huu.
bahati mbaya mletamada anaweza asiwe na maelezo ya msingi.
 
Kifupi..

Ni chombo tendaji kinacho jumuisha watu kadhaa ambao hufanya kzi kwa usiri wa hali ya juu, watu ambao wanaweza kuamua muelekeo wa nchi, nani ashike madaraka na kwa wakati gani. Utendaji wa hiko chombo unaweza ukajulikana kwa raisi ama usijulikane.

Utendaji wake unaweza kumhusisha raisi mwenyewe bila yeye kujua au huku akijua. Utendaji unaweza kuwa na mikono na nguvu kutoka nje kwenye madhehebu makuu ya kidunia unayoyajua iwe wazee wa novena/vatican au mpaka freemasons.

Ukienda kinyume na plani zao ndio hayo mambo ya execute yanaweza kujitokeza.

swali la msingi je hicho chombo tunacho hapa nchini? Kama kipo nani wahusika? Je wana plan nini juu ya hii nchi? Je raisi aliyepita hakuwafurahisha kwa jambo lipi mpka wam executke? Wanaplan kumweka nani? Na ili aje kutimiza yapi ambayo hayakutimizwa na aliyepita?

Kifupi..

Ni chombo tendaji kinacho jumuisha watu kadhaa ambao hufanya kzi kwa usiri wa hali ya juu, watu ambao wanaweza kuamua muelekeo wa nchi, nani ashike madaraka na kwa wakati gani. Utendaji wa hiko chombo unaweza ukajulikana kwa raisi ama usijulikane.

Utendaji wake unaweza kumhusisha raisi mwenyewe bila yeye kujua au huku akijua. Utendaji unaweza kuwa na mikono na nguvu kutoka nje kwenye madhehebu makuu ya kidunia unayoyajua iwe wazee wa novena/vatican au mpaka freemasons.

Ukienda kinyume na plani zao ndio hayo mambo ya execute yanaweza kujitokeza.

swali la msingi je hicho chombo tunacho hapa nchini? Kama kipo nani wahusika? Je wana plan nini juu ya hii nchi? Je raisi aliyepita hakuwafurahisha kwa jambo lipi mpka wam execute? Wanaplan kumweka nani? Na ili aje kutimiza yapi ambayo hayakutimizwa na aliyepita?

Kuna simulizi ya mdau 'The bold' inaitwa vipepeo weusi inareflect kabisa haya yanayoendelea na hata mwenyewe Habibu b Anga alisema riwaya ile imezungmzia yanayoendea nq yaliyopo Kwenye siasa na intelejinsia ya Tz ..Hiyo deep state kwa jinsi ulivyoielezea sawa sawa kabisa na chombo kinachoitwa "The Board" katika riwaya hiyo .
 
Wakuu,

Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.

August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.

Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.

Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.

Endelea kusubiri!
Wacha weee
 
Mlijipanga muda mrefu aisee!
 
Kuna simulizi ya mdau 'The bold' inaitwa vipepeo weusi inareflect kabisa haya yanayoendelea na hata mwenyewe Habibu b Anga alisema riwaya ile imezungmzia yanayoendea nq yaliyopo Kwenye siasa na intelejinsia ya Tz ..Hiyo deep state kwa jinsi ulivyoielezea sawa sawa kabisa na chombo kinachoitwa "The Board" katika riwaya hiyo .
Kwakweli riwaya ile ukiisoma ni kama inajaribu kutuma ujumbe fulani ambao kwa akili ya harakaharaka unaweza kusema aj hii ni riwaya tu kumbe ndani yake kuna ukweli
 
Back
Top Bottom