Fund man
JF-Expert Member
- Feb 24, 2021
- 3,629
- 4,831
NaogopaMama atapita tu kwa muda, yupo atakayechukua ipasavyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NaogopaMama atapita tu kwa muda, yupo atakayechukua ipasavyo.
Ulimwengu wa roho ni mkubwa sana,kwakifupi haya maisha tulishaishi kiroho na sasa tunamalizia kuishi kimwili.Kwakifupi acha machafu kuwa karibu ya Mungu sana.Kuna mambo ninayoyaona nikisema ninayataje watu watanitafuta waniue au wanidhuru lakini hawatayazuia hayo mambo yasitokee kwani yapo kwenye makadirio ya Mungu na lazima yatatokea.Katika nchi hii mimi maharage ya Ukweni ntakuja kuwa kiongozi ila nimefichwa nafasi gani ya uongozi ntaitumikia nchi yangu,kwamazingira niliyokuwa nayo sasa hili swala nikimwambia mtu lazima ataona nimerukwa na akili yaani kibinadamu ni IMPOSSIBLE lakini kwa Mungu ni EASILY POSSIBLE.Sasa kwanini alipaswa kuja kuwa Rais ili afe? Na amekufa ili nchi iwe salama au ndio nchi inaenda mikononi mwa watu wachache
Funguka mkuu kama mwenzio tumia akili mkuu, au wewe ndio tumia akili mwenyewe 🙁Ulimwengu wa roho ni mkubwa sana,kwakifupi haya maisha tulishaishi kiroho na sasa tunamalizia kuishi kimwili.Kwakifupi acha machafu kuwa karibu ya Mungu sana.Kuna mambo ninayoyaona nikisema ninayataje watu watanitafuta waniue au wanidhuru lakini hawatayazuia hayo mambo yasitokee kwani yapo kwenye makadirio ya Mungu na lazima yatatokea.Katika nchi hii mimi maharage ya Ukweni ntakuja kuwa kiongozi ila nimefichwa nafasi gani ya uongozi ntaitumikia nchi yangu,kwamazingira niliyokuwa nayo sasa hili swala nikimwambia mtu lazima ataona nimerukwa na akili yaani kibinadamu ni IMPOSSIBLE lakini kwa Mungu ni EASILY POSSIBLE.
kwa mujibu wa mtoa mada, makamu atakayeteuliwa na raisi.
Survive for fitest haitasubiri huko.Inavyoonekana kirahisi mama ataendeleza misimamo ya jiwe, wakubwa hawatapenda, watafanya walichokifanya kwa jiwe, na utabiri utatimia.
Hivi jamaa kapotelea wapi... Siku hizi haonekani humu ndaniKuna simulizi ya mdau 'The bold' inaitwa vipepeo weusi inareflect kabisa haya yanayoendelea na hata mwenyewe Habibu b Anga alisema riwaya ile imezungmzia yanayoendea nq yaliyopo Kwenye siasa na intelejinsia ya Tz ..Hiyo deep state kwa jinsi ulivyoielezea sawa sawa kabisa na chombo kinachoitwa "The Board" katika riwaya hiyo .
Hakusema mama kama atadhurika kwa namna yeyote ila amesema mama wa muda tu atapita kwa hyo tutegemee baada ya miaka mnne kupita makamu mtauliwa huenda akauchukua mikoba kwa 2025Inavyoonekana kirahisi mama ataendeleza misimamo ya jiwe, wakubwa hawatapenda, watafanya walichokifanya kwa jiwe, na utabiri utatimia.
ikiwa makamu atagombea 2025 hapo tutakuwa na raisi tuliyempigia kura, jamaa ameongelea kuongozwa na raisi tusiyempigia kura kama alivyo narrate situation ya USA.Hakusema mama kama atadhurika kwa namna yeyote ila amesema mama wa muda tu atapita kwa hyo tutegemee baada ya miaka mnne kupita makamu mtauliwa huenda akauchukua mikoba kwa 2025
hearly Deep State ni ni kitu gani hasa hicho?Duhh hi ndio mantiki ya deep state
Aisee hatari namna hii
Ni taasisi ambayo huwa ipo ndani ya serikali kwa Siri yaani hiyo taasisi inakuwa haijulikani kuwa ipohearly Deep State ni ni kitu gani hasa hicho?
Hakika yametokea japo c USA Bali ni hapa bongo.Wakuu,
Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.
August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.
Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.
Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.
Endelea kusubiri!
Kama haipo wewe umejuaje kama ipoNi taasisi ambayo huwa ipo ndani ya serikali kwa Siri yaani hiyo taasisi inakuwa haijulikani kuwa ipo
Hata raisi wanchi anaweza asijue kuwa ipo !? Au akawa anajua lakini Taasisi hiyo inakuwa na mfumo imara ambao hauruhusu taasisi hiyo kuingiliwa na kiongozi yeyote yule wa Nchi kwaajili ya kulinda maslahi yake .Taasisi hiyo kazi yake Dhumuni la uwepo wake ni kulilinda taifa husika at any cost