Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Huyo mtabiri uchwara kadai kwamba ati wamesitisha oparesheni yao kumsikilizia mama maana wanaona dalili nzuri
Hawajasitisha isipokuwa plan yao imebuma, vijana wa kisasa huwa wanasema. Ni kwamba VP waliyekuwa wanamtarajia siyo yule aliyeteuliwa na Mama. Sasa kuanzia pale mambo yao yakawa yameparanganyika. Mpango wao ungeweza kufanya kazi tu iwapo VP asingekuwa huyu aliyepo sasa. Hii ni kutoka kwenye maktaba ya kichwa changu tu na sina any external sources
 
Mmhhhh!
Wakuu,

Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.

August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.

Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.

Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.

Endelea kusubiri!
 
I dont think kama walimfix...JIWE alikuwa anaumwa kitambo tu....Trip shamba trip gereji.....halafu ulinzi wake ulikuwa mkubwa si rahisi kumuwekea sumu.
Huyu memba hakuna mahali amesema akiwekewa sumu, kama alikuwa na ulinzi wa aina yake ilikuwaje habari za ikulu zikawa zinavuja?.
Ina mana huyu memba alijuaje soon mzee atakuja kufa?
 
Back
Top Bottom