Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Huyu memba hakuna mahali amesema akiwekewa sumu, kama alikuwa na ulinzi wa aina yake ilikuwaje habari za ikulu zikawa zinavuja?.
Ina mana huyu memba alijuaje soon mzee atakuja kufa?

Madikteta wengi watavuta sana kwa UVIKO ,mtoa mada alitoa andiko lake May 2020 ambapo JIWE alikuwa kijificha CHATO kuogopa kovidi ,mkeka wake aliobashiri umetiki....Kibetri+Malukanga+uviko hauwezi kutoboa.
 
Nahisi ulifahamu mpango wa kumdhuru Magufuli na Samia achukue nchi. Hongera umefanikiwa.
Usisahau kutujuza ikiwa Samia atagombea na kusbinda au hatapaewa nafasi ya kugombea.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Cheki kurasa za mwanzo kila kitu ameelezea, kasema mama ni wa muda tu
Soma hii

 
Nahisi ulifahamu mpango wa kumdhuru Magufuli na Samia achukue nchi. Hongera umefanikiwa.
Usisahau kutujuza ikiwa Samia atagombea na kusbinda au hatapaewa nafasi ya kugombea.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Naona alisema kwamba Mama anapita kwa kida tu, yupo atakaechukua nchi ipasavyo, sasa sijui kupita anamaanisha nn
 
Alisema eti haki sio hisani, lakini jana rangi yake ilianza kuonekana...😂🤣
 
nimegundua we ni jinn sio mtu ,
Serikali za kidunia Kuna nguvu pia za kijini zinaongoza nyuma yake,hususani kwa nafasi kubwa kama ya urais ,Kuna nguvu za majini aswaa wale wakuu
 
we nawe huna lolote Zaid ya mbwembwe tu na utaperi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…