Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Wewe ulishindwa kunusa harufu kweli mbona kama ulikuwa well connected na utawala ulipitaIla na nyie siku yenu yaja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ulishindwa kunusa harufu kweli mbona kama ulikuwa well connected na utawala ulipitaIla na nyie siku yenu yaja
Kwani huyo professor bado yupo nchini?Hivi nimesikia Professor wa pale Taasisi ya moyo anahusika kindakindaki kukamilisha hii issue
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama yupo nyie mnadhani anajisikiaje kwa baadhi kumrundikia tuhuma hizi za hatari?!
Ahsante kwa muongozo
Sawa mkuu...hamna lolote mbwembwe tu
Ngoja nisubiri hili kama litatimia ifikapo 2025, panapo majaliwa ya MuumbaMama atapita tu kwa muda, yupo atakayechukua ipasavyo.
Aisee!Mkuu kuna operation imeshapewa next stage.. 'execute'.. itakuwa mixed feelings kwa wengi.
Aiseee 🤔🤔Wakuu,
Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.
August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.
Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.
Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.
Endelea kusubiri!
...Mama atapita tu kwa muda, yupo atakayechukua ipasavyo.
Nyie watuStay tuned mkuu, mambo yanakaribia kuanza..
Mh tena yamekua hayoMama atapita tu kwa muda, yupo atakayechukua ipasavyo.