Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Plan hizi inaoneshaNaona ni mkakati maalumu wa kumtoa mama...kweli nchi Ina wenyewe..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Plan hizi inaoneshaNaona ni mkakati maalumu wa kumtoa mama...kweli nchi Ina wenyewe..
Ameshashtuka mama ...anafanya kazi kwa usmart Sana...Sasa hivi hawezi tena kumtoa...Plan hizi inaonesha
Ameshashtuka mama ...anafanya kazi kwa usmart Sana...Sasa hivi hawezi tena kumtoa...
Kumbe mlimuuwa ... Dah.. InasikitishaMkuu kuna operation imeshapewa next stage.. 'execute'.. itakuwa mixed feelings kwa wengi.
Una alili sana aisee.Wakuu,
Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.
August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.
Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.
Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.
Endelea kusubiri!
Nchi inawenyeweMama atapita tu kwa muda, yupo atakayechukua ipasavyo.
Nature , kufa Nako ni mpango, Kuna watu wanajua watakufa liniSitopinga tena kwamba Magufuli aliuwawa
Kuna watu wanasafiri mbele ya mda .wanaona yajayothe man was killllllllllllleeeed!!,
Inawezekana hata kuongoza nchi Nako ya Yule mtu Nako kuliandaliwa vemaInashangaza sana kweli kifo cha yule dik teta kiliandaliwa vema
Mama atapita tu kwa muda, yupo atakayechukua ipasavyo.
Nawe ulitabili lakoTumia akili,
Yule mama wa mipasho akishika nchi Chadema kuchukua nchi itakuwa sawa na keserereka kwenye barafu za mlima K'Njaro.
Kwanini?Sitopinga tena kwamba Magufuli aliuwawa
JF sio ya kubeza walahWakuu,
Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.
August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.
Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.
Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.
Endelea kusubiri!
Kwa yanayoendelea naanza kuamini, mtaani mama amepoteza kuungwa mkonoMama atapita tu kwa muda, yupo atakayechukua ipasavyo.