Libertatem Pugnator
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 1,005
- 1,377
May 2020Wakuu,
Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.
August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.
Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.
Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.
Endelea kusubiri!
Dûh watu mna taarifa nzito nzito hatariMkuu kuna operation imeshapewa next stage.. 'execute'.. itakuwa mixed feelings kwa wengi.
Naomba unifundishe huu ujuzi kiongoziMama atapita tu kwa muda, yupo atakayechukua ipasavyo.
Inashangaza sana kweli kifo cha yule dik teta kiliandaliwa vemaHakuna mantiki ya kuleta uzi bila kuelezea. Mambo gani yanakaribia kuanza
Vipi mserereko upo au vepe?Tumia akili,
Yule mama wa mipasho akishika nchi Chadema kuchukua nchi itakuwa sawa na keserereka kwenye barafu za mlima K'Njaro.
Mzee wa mbwembwe bado upo na msimamo ule ule?...hamna lolote mbwembwe tu
Hapa ulipigilia msumari. Ngoja nisubiri utabiri ukamilike.Mama atapita tu kwa muda, yupo atakayechukua ipasavyo.
Njoo mtabiri nchi inakuhitaji hii.Stay tuned, kuna mada ningeipandisha hapa ungeelewa ila sasa nilitumia id nyingine kimkakati.
[emoji23][emoji23]Njoo mtabiri nchi inakuhitaji hii.
Mama atapita tu kwa muda, yupo atakayechukua ipasavyo.