Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Uko sahihi lakini makamu wa rais anateuliwa na rais hachaguliwi, ila Ford alipata bahati kubwa sana ya kuwa rais baada ya makamu wa rais, hii imetokea mara moja tu dunia nzima ya demokrasia. Vipi Korea ya kaskazini?
 
Soma historia ya Goodluck Jonathan wa Nigeria..
Hiyo ya ford cha mtoto
 
Kumbe upuuzi wako unaendelea. Ila Mungu aliumba watu aina mbalimbali.View attachment 1445920View attachment 1445921
Mkuu kama unao ufahamu wa masuala ya ndoto na katika mada ile nilieleza kuwa naweza kuliona jambo kwenye ulimwengu wa roho lakini ikachukua muda kutokea.

Haya mambo hatuyaandiki kwa majivuno, dharau na kujionyesha ndio maana haturudi kuelezea zaidi yanapotokea.

Ila nikuambie tu Dr Abdala Kigoda na Samuel Sita walitutoka kama post ile ilivyoeleza bila kumtaja mtu.

Ni vyema kujivika unyenyekevu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…