Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Mkuu mimi sihusiki kupanga wala kutekeleza, ni mwonaji tu.
Mimi sikupingi wala kukataa niko 50/50 mpaka nione mwisho wake.
Ila mambo yakienda kama maono yako basi vema ila yakiwa tofauti itakuwa sio poa.huu uzi utaishi muda mrefu sana hapa mpaka tuone muafaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu,

Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.

August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.

Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.

Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.

Endelea kusubiri!
Duh
 
Duh!..
 
Majitu machawi
 
Back
Top Bottom