Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Kwamba mama atateua mtu kushika uVP, then Mama nae atangulie/atangulizwe mbele za haki au ajiuzuru (kwa kulazimishwa nyuma ya pazia) ili huyo VP wa mfukoni atwae Nchi?

Hii Thread ni ya May 2020. Wagagagigikoko! 🙂
Kwa haya yanayoendelea ya tozo plus mafuta plus mfumuko wa bei ni Kama utani ila muda utaongea
 
Kuna watu mnaona mbali. Mlijua kuna mipasho toka May 2020? Wengine tumekuja kujua baada ya Ndugai kupashwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila ninachokiona ni kwamba jamaa hakufanya utabiri,ila alikuwa na taarifa.
kumbuka gape ya muda wakati anatoa uzi huu na tukio linatokea siyo kubwa kivile.Kwahiyo yawezekana tayari alishapata taarifa!

Weeee!!!! Kutoka 10.05.2020 Hadi 21.03.2021 ni karibia mwaka mzima wanaoweza tabirihivi wapo Sana😂😂😂😂😂😂😂.Huyu jamaa Tumia akili tumpe credit zake.
 
Back
Top Bottom