Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Naendelea kusubiria kwa umakini...Mama atapita tu kwa muda, yupo atakayechukua ipasavyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naendelea kusubiria kwa umakini...Mama atapita tu kwa muda, yupo atakayechukua ipasavyo.
🤣🤣🤣Naendelea kusubiria kwa umakini...
YAANI Dr Tibazonkiza ajiuzulu KWA kasfa ya Tozo na ushauri mbaya unaoendelea!Wakuu,
Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.
August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.
Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.
Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.
Endelea kusubiri!
Tough game mwanangu ila inawezekana kama ni mipango ya the supreme GodYAANI Dr Tibazonkiza ajiuzulu KWA kasfa ya Tozo na ushauri mbaya unaoendelea!
Mama ateue makamu Mwingine AMBAYE ndio huyu ninaemfikiria!
Halafu Mama ajiuzulu KWA kushindwa kuendelea KWA kuzira au vinginevyo halafu makamu mpya aapishwe kuwa ndie!!
"Ilitokea Marekani itatokea na huku kwetu"
Na huyo ndio FDR sio!?bas Sawa!!
🤣🤣Naiombea nchi amani na utulivu katika kipindi hiki cha tozo. Ivuke salama.
Do you still believe so🙃🙃
Loh😯 bt naamini s100 ndo alitabiriwa.Kwamba mama atateua mtu kushika uVP, then Mama nae atangulie/atangulizwe mbele za haki au ajiuzuru (kwa kulazimishwa nyuma ya pazia) ili huyo VP wa mfukoni atwae Nchi?
Hii Thread ni ya May 2020. Wagagagigikoko! 🙂
"Mama atashika KWA muda tu,yupo ambaye atashika ipasavyo"! Tumia akili!!Loh😯 bt naamini s100 ndo alitabiriwa.
Sikubali Wala sikatai.Kama nimekusoma unamaanisha atakaeteuliwa umakamu wa Rais kumsaidia mama atakuwa Rais kabla ya mama kukamilisha hii miaka 4 na ushee?
Kama ndio hivyo nitamuomba Mungu abatilishe hii kitu ila tu kwa mapenzi yake basi angalau mama amalizie miaka 5 japo binafsi napenda aende hadi 2030
Sitaki kabisa tuingie kwenye historia ya Zambia
Ameeeeeeeeeeeeeeen.Ni sahihi
Uongozi wa Mama ni wa mpito.
Mwanamume wa SHOKA ATACHUKUA HATAMU NA ROHO YA MAGUFULI na Uweza wa Mungu UTAKUWA JUU YAKE kuikomboa TANZANIA
NCHI HII IMEJALIWA RASLIMALI NYINGI....lazima zinufaishe Watanzania wote
Kuna watu wachawi sanaWakuu,
Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.
August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.
Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.
Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.
Endelea kusubiri!
Hahaha yuko kitini sasaTumia akili,
Yule mama wa mipasho akishika nchi Chadema kuchukua nchi itakuwa sawa na keserereka kwenye barafu za mlima K'Njaro.
Mchawi mwingineUna maana haya madharau dhidi ya covid19 yata backfire na kumpiga kulekule alikojificha?😎
Au unakusudia kusema nini?
Napita tu jameni.
Utabiri si wa 2020 na tayari imetukia?Sikubali Wala sikatai.
Utulivu ktk mchakato wa kumpata VP unafikirisha sana pia.[emoji854][emoji854].
Bt mwonaji anasema Marekani VP aliukwaa U-CEO Kwa KASHFA ya CEO alieondoshwa.
Muda ni mwalimu. Tusubiri.
........?🙃🙃🙃VP will take the white house within 1 year from right now.
Deep state is working day and night
Kuna comment mwandishi amejibu kuwa aliyepo atapita Kwa muda tu.Utabiri si wa 2020 na tayari imetukia?
Let facts, Nia ipi nzuri.Baada ya kusoma uzi huu nimekumbuka kuna mtu aliniambia, JK alikuwa na nia ya dhati kabisa juu ya katiba mpya, ila 'WAKAMZUIA'