Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Wakuu,

Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.

August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.

Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.

Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.

Endelea kusubiri!
nyie ndio mlimuua jiwe
 
Haka kajamaa Tumia akili kangese sana kalivyoona Jiwe amezikwa kweli kakaja na uzi humu kuwa operation ya kumuondoa aliyepo imesitishwa. Ila hayati jiwe alikufa kifara sana sijui alikuwa kapigwa upofu gani au zile helicopter & mibunduki kwenye ziara zake za kuzindua vyoo vya stand za mabus ndizo zilimfanya akawa anahisi yuko salama
Watu aliowaamini wamemuangusha.Ilitakiwa awe kama Putin,hakuna kuamini mtu yeyote.
 
Kama watu wanazusha si rais ajitokeze tu?

Hivi hamjajifunza kwenye kifo cha Magufuli?
Tatizo watu wengi hawaelewi kwamba Rais ni mali ya watanzania. Sasa kama watu wanahoji alipo, basi bila shaka kama yupo ajitokeze na kusema nipo na naendelea na kazi ya kuwatumikia,BASI.

Sielewi ni kwa nini watanzania wakiuliza alipo Rais wao huwa inakuwa Nongwa!!

Joe Biden alipokwenda kufanyiwa Operesheni, wamarekani walijulishwa na akaandika hati ya kumkabidhi Haris Kamala mamlaka ya Urais kwa muda. Sasa hapa ni lazima utukanwe na kutishwa, sielewi ni kwa nini!!
 
Back
Top Bottom