Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

nyie ndio mlimuua jiwe
 
Watu aliowaamini wamemuangusha.Ilitakiwa awe kama Putin,hakuna kuamini mtu yeyote.
 
Kama watu wanazusha si rais ajitokeze tu?

Hivi hamjajifunza kwenye kifo cha Magufuli?
Tatizo watu wengi hawaelewi kwamba Rais ni mali ya watanzania. Sasa kama watu wanahoji alipo, basi bila shaka kama yupo ajitokeze na kusema nipo na naendelea na kazi ya kuwatumikia,BASI.

Sielewi ni kwa nini watanzania wakiuliza alipo Rais wao huwa inakuwa Nongwa!!

Joe Biden alipokwenda kufanyiwa Operesheni, wamarekani walijulishwa na akaandika hati ya kumkabidhi Haris Kamala mamlaka ya Urais kwa muda. Sasa hapa ni lazima utukanwe na kutishwa, sielewi ni kwa nini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…