Hennes kolon
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 673
- 1,294
nimerudia rudia kuusoma Uzi wa huyu mtu,Sasa nimeelewa ,aise wakuu hii kitu ni very serious .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimerudia rudia kuusoma Uzi wa huyu mtu,Sasa nimeelewa ,aise wakuu hii kitu ni very serious .
Mbona kama unapingana na wengi huon kama wew ndo unaweza kua na tatizo?Kwa hiyo kwa kuwa ilitokea kwa Magufuli basi kila mwaka kazi yenu ni kuamka na kuuliza? Hapo ndio nimeshindwa kukutofautisha wewe na mpumbavu
Mkuu Tumia akili, Duh...!. Prophets of the the doom, wako wa aina nyingi!. Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.
Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.
Kwa hivyo umekubali kwamba huelewi kazi ya rais?Wewe unaelewa kazi yake ni ipi?
Kujua hali ya rais na yuko wapi anafanya nini ni haki ya kikatiba, unaelewa hilo?Kwa hiyo kwa kuwa ilitokea kwa Magufuli basi kila mwaka kazi yenu ni kuamka na kuuliza? Hapo ndio nimeshindwa kukutofautisha wewe na mpumbavu
Sawa, ngoja tuone, kwani 2025 mbali?Tumia akili,
Yule mama wa mipasho akishika nchi Chadema kuchukua nchi itakuwa sawa na keserereka kwenye barafu za mlima K'Njaro.
Kama ndio namna pekee ya kuikomboa Tanzania, basi naomba Mungu aliwahishe hili.Duh...!. Mungu apishilie wazo hili
P
Duu,Mkuu kuna operation imeshapewa next stage.. 'execute'.. itakuwa mixed feelings kwa wengi.
Best nitafte Kwa voda number pleaseNakutafuta hupatikani, nicheki plz
Wewe kazi yako humu Huwa kutukana tu jiheshimu basi ka mwanaume rijali kahUna tatizo lolote la akili?
Pm plzBest nitafte Kwa voda number please
Okay will call you laterPm plz
Ndicho ulichoelewa?Kwa hivyo umekubali kwamba huelewi kazi ya rais?
Hilo ni tusi?Wewe kazi yako humu Huwa kutukana tu jiheshimu basi ka mwanaume rijali kah
Weka hiko kifungu cha katibaKujua hali ya rais na yuko wapi anafanya nini ni haki ya kikatiba, unaelewa hilo?
Duu..ibobo ipo...mpk umtext kwenye nyuzi muhimu kama izi...??!Best nitafte Kwa voda number please
Kazi yako Huwa ni matusi hujibu hoja huoni unajizalilisha?Hilo ni tusi?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Duu..ibobo ipo...mpk umtext kwenye nyuzi muhimu kama izi...??!