Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Haka kajamaa Tumia akili kangese sana kalivyoona Jiwe amezikwa kweli kakaja na uzi humu kuwa operation ya kumuondoa aliyepo imesitishwa. Ila hayati jiwe alikufa kifara sana sijui alikuwa kapigwa upofu gani au zile helicopter & mibunduki kwenye ziara zake za kuzindua vyoo vya stand za mabus ndizo zilimfanya akawa anahisi yuko salama

Duh
 
Wakuu,

Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.

August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.

Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.

Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.

Endelea kusubiri!
Neno litatimia, Mpango atakuwa rais.
 
Screenshot_2023-04-15-01-33-44-817_com.instagram.android.jpg
 
But Leo le mutuz na Ikulu mawasiliano wame post picha za Leo Rais Akiwa na waziri mkuu vikao Kwa msajili...
Una doubt hizo picha??
Mimi sijaziona na wala sijali, I don't even listen to the speeches tangu Magufuli.

Ila for the sake of Tanzanians, she better show up.

Experience waliyoipata ya Rais kupotea, halafu kuambiwa kwamba anachapa kazi, halafu kujua kumbe alikuwa anajifia zake ni mbaya sana.

Si unajua tena Waswahili wanasema aliyeumwa na nyoka akiona unyasi anasituka?
 
Mimi sijaziona na wala sijali, ila for the sake of Tanzanians, she better show up.

Experience waliyoipata ya Rais kupotea, halafu kuambiwa kwamba anachapa kazi, halafu kujua kumbe alikuwa anajifia zake ni mbaya sana.

Si unajua tena Waswahili wanasema aliyeumwa na nyoka akiona unyasi anasituka?

Imekuwa a tramautic experience..
Hadi nikahisi labda hizo picha sio za Leo...but page ya Ikulu imesema Leo alikuwa mkutanoni na msajili wa mashirika
 
Mimi sijaziona na wala sijali, I don't even listen to the speeches tangu Magufuli.

Ila for the sake of Tanzanians, she better show up.

Experience waliyoipata ya Rais kupotea, halafu kuambiwa kwamba anachapa kazi, halafu kujua kumbe alikuwa anajifia zake ni mbaya sana.

Si unajua tena Waswahili wanasema aliyeumwa na nyoka akiona unyasi anasituka?
Ni kweli mkuu ata kipindi kile ilipoanza minong'ono wakawa wanarusha picha na video za jiwe hawaminiki Hawa.
 
Back
Top Bottom