Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Kama mpo serious na ku salvage the nation si ueni CCM wote sasa tuone mpo serious! Mnaua upande wa Magu, mnaua upande wa mkwere, mnaua upande wa mkojani, upande upi msafi sasa mnaolenga
Kosa kubwa tunalofanya watanzania ni kuweka uvyama mbele, nashukuru Mungu kwamba kina tumia akili wameiweka nchi mbele kabla ya haya mavyama ya ovyo.

Ni upumbavu kufikiri ccm ikifa leo nchi itakuwa salama.
Wenye akili walifumbuliwa macho na kile kilichofanywa na chadema 2015.

Wewe unaamini lowasa angekuwa rais 2015 nchi ingepona?
 
Mhhh just a few days au just a few years...
 
Tumia akili
 
Asante kwa kuuleta mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…