Hii trend ya mods kutuondolea baadhi ya nyuzi inanipa mashaka kama hili jukwaa halijawa compromised.Wengi wangependa kuusoma huu 👍🔥
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii trend ya mods kutuondolea baadhi ya nyuzi inanipa mashaka kama hili jukwaa halijawa compromised.Wengi wangependa kuusoma huu 👍🔥
You call missions of salvaging the nation za hovyo? Pumbavu kabisa wewe.Hi nchi ilivyo ya ajabu utakuta TISS wala hawafuatilii hizi mission za 'hovyo' na kuwanasa wahusika. Baadaye yanatokea watu wanaanza kupongezana humu kwa utabiri kumbe ndio waratibu.
MhhhhTumia akili,
Yule mama wa mipasho akishika nchi Chadema kuchukua nchi itakuwa sawa na keserereka kwenye barafu za mlima K'Njaro.
Just a few days toka aote hiyo ndotoKasema just a few days, tuendelee kusubiri.
Kosa kubwa tunalofanya watanzania ni kuweka uvyama mbele, nashukuru Mungu kwamba kina tumia akili wameiweka nchi mbele kabla ya haya mavyama ya ovyo.Kama mpo serious na ku salvage the nation si ueni CCM wote sasa tuone mpo serious! Mnaua upande wa Magu, mnaua upande wa mkwere, mnaua upande wa mkojani, upande upi msafi sasa mnaolenga
Mhhh just a few days au just a few years...Huo hapo chini.
Wakuu
Mwaka 1779 jenerali wa Marekani, Benedict Arnold, alianza kuingia makubaliano ya usaliti na majeshi ya uingereza ili kuwasaidia kushinda vita kule Marekani.
Mkakati wake kudhoofisha ngome pale New York uligundulika na aliyekuwa handler wake upande wa uingereza meja John Andre alikamatwa na majeshi ya Marekani na kunyongwa.
Upande wa pili nikawa nimeingia ofisini kwa director nikakuta mazungumzo fulani nikahitaji ufafanuzi.
Nikauliza mbona ilisitishwa? Akajibu, "that's above your paycheck". Nikamwambia hata bado hajastaafishwa akajibu, "JAL 1 is done, 2 and 3 are next".
Nikasema mbona kitabu na fdr hamna dalili akasema stop huku akinionesha nitoke pale ofisini. Basi nikainuka na kusema nilishaaga akajibu, "taarifa zinatoka juu kuja chini".
Akabonyeza namba kwenye simu wakati namalizia kutoka nikasikia anatamka "code PJLK, next stage is ON, desert mission, original plan, over and out."
Nilisikia mlango unagongwa kumbe ni binti yangu aliyekuwa anatoka alfajiri. Hapo nikajua kumbe ilikuwa ni ndoto.
Just a few days.
theState.
Wait and see.Mhhh just a few days au just a few years...
Ndo hao hao mbonaHi nchi ilivyo ya ajabu utakuta TISS wala hawafuatilii hizi mission za 'hovyo' na kuwanasa wahusika. Baadaye yanatokea watu wanaanza kupongezana humu kwa utabiri kumbe ndio waratibu.
Tiss ina vitengo vingi sana mkuu; hata huyo mkurugenzi wao kuna vingine hata havijui.Ndo hao hao mbona
Tumia akiliHuo hapo chini.
Wakuu
Mwaka 1779 jenerali wa Marekani, Benedict Arnold, alianza kuingia makubaliano ya usaliti na majeshi ya uingereza ili kuwasaidia kushinda vita kule Marekani.
Mkakati wake kudhoofisha ngome pale New York uligundulika na aliyekuwa handler wake upande wa uingereza meja John Andre alikamatwa na majeshi ya Marekani na kunyongwa.
Upande wa pili nikawa nimeingia ofisini kwa director nikakuta mazungumzo fulani nikahitaji ufafanuzi.
Nikauliza mbona ilisitishwa? Akajibu, "that's above your paycheck". Nikamwambia hata bado hajastaafishwa akajibu, "JAL 1 is done, 2 and 3 are next".
Nikasema mbona kitabu na fdr hamna dalili akasema stop huku akinionesha nitoke pale ofisini. Basi nikainuka na kusema nilishaaga akajibu, "taarifa zinatoka juu kuja chini".
Akabonyeza namba kwenye simu wakati namalizia kutoka nikasikia anatamka "code PJLK, next stage is ON, desert mission, original plan, over and out."
Nilisikia mlango unagongwa kumbe ni binti yangu aliyekuwa anatoka alfajiri. Hapo nikajua kumbe ilikuwa ni ndoto.
Just a few days.
theState.
Asante kwa kuuleta mkuuHuo hapo chini.

Ulijuaje?Stay tuned mkuu, mambo yanakaribia kuanza..
😆😆😆 muulize tena.Ulijuaje?
Nisaidie labda atajibu😆😆😆 muulize tena.
Tumia akiliUlijuaje?
Samahani mkuu nikuulize wewe umejuaje vipo yaani una access ya kujua hivi vitu kumzidi DG mwenyewe? Yeye asijue wewe umejua?Tiss ina vitengo vingi sana mkuu; hata huyo mkurugenzi wao kuna vingine hata havijui.