Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Before Wednesday?

Raha ya milele umpe e bwana, inalilah waynailaih rajiun.

Maturubai tunapeleka wapi mkoani au Dar?
 
Kwamba "Desert mission".
 
Mkuu Gagnija nisaidie code hizi japo inbox mkuu,
1. JAL 1 is done, 2 and 3 are next

2. PJLK?
3. Desert mission?
Natanguliza Asante
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Mkuu

Ni kweli kwenye uzi wa" operation imesitishwa the state wamesema apewe muda"

The state walitaka uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024 usubiri hadi katiba mpya ikamilike,Hadi sasa hakuna dalili ya katiba mpya!!!

Lazima Tumia akili ahoji kwamba mbona kitabu na fdr hakuna dalili!!?

Halafu kule yoga anasema tusubiri desemba YAANI on verge kuingia 2024,eti Wana JAMBO lao!!!?

Then,

Mkuu anasema operation next stage iliyokua imesitishwa ianze!!

Hapo nadhani imeeleweka maudhui yake!!

Wewe na Mimi tubaki watazamaji tu!!
 
Kichwa cha habari aliandikaje!!?kabla ya huu uzi!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…