Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Kwamba mama atateua mtu kushika uVP, then Mama nae atangulie/atangulizwe mbele za haki au ajiuzuru (kwa kulazimishwa nyuma ya pazia) ili huyo VP wa mfukoni atwae Nchi?Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.
Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.
Endelea kusubiri!
Mkuu upoooooo, unabii wako umetimia mkuu, salute mkuu upoooooooo,Wakuu,
Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.
August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.
Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.
Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.
Endelea kusubiri!
sawa mkuu...hamna lolote mbwembwe tu
Ebu tupatiwe hili jibu mkuuUna maana haya madharau dhidi ya covid19 yata backfire na kumpiga kulekule alikojificha?😎
Au unakusudia kusema nini?
Napita tu jameni....
Ngoja tumsubiri huyo atakayekujaMama atapita tu kwa muda, yupo atakayechukua ipasavyo.
DuhUna maana haya madharau dhidi ya covid19 yata backfire na kumpiga kulekule alikojificha?😎
Au unakusudia kusema nini?
Napita tu jameni....
Hatimae wakt wake umewadia, ulikuwa gizani sasa unaona.Nimekupata mkuu.
Bro we ni noma bado kidogoMkuu kama unao ufahamu wa masuala ya ndoto na katika mada ile nilieleza kuwa naweza kuliona jambo kwenye ulimwengu wa roho lakini ikachukua muda kutokea.
Haya mambo hatuyaandiki kwa majivuno, dharau na kujionyesha ndio maana haturudi kuelezea zaidi yanapotokea.
Ila nikuambie tu Dr Abdala Kigoda na Samuel Sita walitutoka kama post ile ilivyoeleza bila kumtaja mtu.
Ni vyema kujivika unyenyekevu.
Mweh!.. mabeberu sio watu wazuri! Naamini huko yalipo yanachekelea kama yalivyochekelea hadharani alipokufa Rais wa Venezuela na wa Libya!Mama atapita tu kwa muda, yupo atakayechukua ipasavyo.
Umetimia kwa 50% bado 50% mkuu, nadhani Uzi huu tuuPIN na ukitimia kwa kadri ya maandiko haya Basi tuuweke kwenye vitabu vya historia ya Tanzania (nadhani haitapita miaka 4);Mkuu upoooooo, unabii wako umetimia mkuu, salute mkuu upoooooooo,
Kwa nadharia hii VP ajae ndo atakua ndo mchora njia!??Mama atapita tu kwa muda, yupo atakayechukua ipasavyo.
Umeyaona ya sasa mzee?Kuna dalili za mambo kama haya kutokea huku kwetu kwa viashiria vipi?