Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Mweh!.. mabeberu sio watu wazuri! Naamini huko yalipo yanachekelea kama yalivyochekelea hadharani alipokufa Rais wa Venezuela na wa Libya!

Sijaona hata pole toka kwa Rais wa US!
Watoe pole kisa na Mkasa?
 
Umetimia kwa 50% bado 50% mkuu, nadhani Uzi huu tuuPIN na ukitimia kwa kadri ya maandiko haya Basi tuuweke kwenye vitabu vya historia ya Tanzania (nadhani haitapita miaka 4);
Power Struggle itasababisha hili litokee
 
Umetimia kwa 50% bado 50% mkuu, nadhani Uzi huu tuuPIN na ukitimia kwa kadri ya maandiko haya Basi tuuweke kwenye vitabu vya historia ya Tanzania (nadhani haitapita miaka 4);
Nakubaliana nawe mkuu, basi Mungu akitupa uhai tukutane wakati huo. TuuPIN chief
 
Aisee
 
Mbona jamani mnapenda sana kuisinfizia kovid19 uongo wakati yenyewe imejikalia tu kimya?
 
Kwa kuwa sio lazima kukubali ulichokisema basi hichi nakuambia huo ni UONGO MUJARABU
 
Hv wadau kama anachosema mtoa mada ni kweli hv ni nan katika nchi hii ni engineer wa kupanga hii mipango wakati Rais ndo top. Kuanzia mkurugenzi wa usalama wa taifa na vyombo vingine vya usalama wote wanaripoti kwake. Au kuna mtu mwngine nje ya mfumo Mwenye uwezo wa kuwaendesha hawa watendaj wengine bila rais kufaham?
 
Sio Kama anachosema . Alichosema nikweli maana alicho kibashiri kimetimia asilimia 75
 
We jamaa ulijuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…