Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Mweh!.. mabeberu sio watu wazuri! Naamini huko yalipo yanachekelea kama yalivyochekelea hadharani alipokufa Rais wa Venezuela na wa Libya!

Sijaona hata pole toka kwa Rais wa US!
Watoe pole kisa na Mkasa?
 
Umetimia kwa 50% bado 50% mkuu, nadhani Uzi huu tuuPIN na ukitimia kwa kadri ya maandiko haya Basi tuuweke kwenye vitabu vya historia ya Tanzania (nadhani haitapita miaka 4);
Power Struggle itasababisha hili litokee
 
Umetimia kwa 50% bado 50% mkuu, nadhani Uzi huu tuuPIN na ukitimia kwa kadri ya maandiko haya Basi tuuweke kwenye vitabu vya historia ya Tanzania (nadhani haitapita miaka 4);
Nakubaliana nawe mkuu, basi Mungu akitupa uhai tukutane wakati huo. TuuPIN chief
 
Wakuu,

Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.

August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.

Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.

Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.

Endelea kusubiri!
Aisee
 
Mbona jamani mnapenda sana kuisinfizia kovid19 uongo wakati yenyewe imejikalia tu kimya?
 
Dada Mungu yupo na ukiwa karibu naye sana ukajiepusha na machafu,Mungu atakuficha tu kifo chako.Binafsi hakuna ajali ya ndege inaweza kutokea katika dunia hii mimi nisioteshwe.Tatizo tukitabiri mtuona tumerukwa na akili lakin kama mngekuwa mnafanyia kazi maono yetu mngechukua tahadhari.Lakini maono mengi yanatoka kwa mungu na ni mipango ya mungu so lazima yatimie huwezi kubadilin mpango wa mungu
Kwa kuwa sio lazima kukubali ulichokisema basi hichi nakuambia huo ni UONGO MUJARABU
 
Hv wadau kama anachosema mtoa mada ni kweli hv ni nan katika nchi hii ni engineer wa kupanga hii mipango wakati Rais ndo top. Kuanzia mkurugenzi wa usalama wa taifa na vyombo vingine vya usalama wote wanaripoti kwake. Au kuna mtu mwngine nje ya mfumo Mwenye uwezo wa kuwaendesha hawa watendaj wengine bila rais kufaham?
 
Sio Kama anachosema . Alichosema nikweli maana alicho kibashiri kimetimia asilimia 75
 
Wakuu,

Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.

August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.

Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.

Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.

Endelea kusubiri!
We jamaa ulijuaje?
 
Back
Top Bottom