Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

Imeamuliwa 'next stage' isitishwe. Baadhi ya maombi ya unyenyekevu ya 'theState':

1. Sheria zifuatwe na zile zisizofaa zibadilishwe.(HAJATEKELEZA)

2. Mwakani (2022) kuwe na mwendelezo wa kuandika katiba ambapo bunge liundwe na lisilazimike kuingiza wabunge waliopo sasa isipokuwa wale wenye tija. (HAKUTEKELEZA)

3. Wabunge wasiokuwa halali waondolewe kutoka bungeni. (HAKUTEKELEZA)

4. Ikiwezekana yale majimbo na kata ambayo ilionekana kabisa kulikuwa na upotoshaji wa matokeo basi uchaguzi urudiwe. Uchaguzi wa serikali za mitaa usubirie mpaka katiba mpya. (Hakutekeleza)

5. Stahiki za wafanyakazi wa umma na wastaafu zilipwe. Fao la kujitoa lirejeshwe kwa wale waliopoteza ajira.(sijui kama alitekeleza)

6. Fungua milango ya nchi ili biashara na mitaji ikaribie na ku-unlock uchumi. Wawekezaji wakaribishwe kwa sera na sheria wezeshi.

7. Wananchi kule kimara walipwe fidia na kwingineko ambapo watu waliumizwa.

8. Ofisi ya DPP na mwanasheria mkuu ifumuliwe na watu watendewe haki.

9. Watendaji wote 'walio-dance the tune' na kuvunja sheria huku wakiumiza watu waondolewe. (hajatekeleza)

10. Miradi ya SGR na Stiegler's iendelezwe pamoja na ile ya barabara lakini upembuzi ufanyike ili ikiwepo isiyo na tija iachwe. (amejitahidi)

11. Kuna tatizo kubwa sana deni la taifa.. angalau punguza sasa kukopa na weka mazingira ili uvutie wawekezaji na hasa wale wa ndani ambao wameficha matrilioni ardhini na nje ya nchi.
(Hajatekeleza)

12. Uchunguzi huru ufanyike kwa yale matukio yote ya utekaji, mauaji na mashambulizi dhidi ya binadamu. (hajatekeleza)

13. Ondoa elimu bure kwasababu inajenga taifa lenye 'irresponsible' minds. Angalia namna ya kubadilisha mfumo wa elimu ili uendane na nyakati tulizonazo.(hajatekeleza)

14. Fanya maridhiano na wapinzani na taasisi zilizotengwa ili kuleta umoja wa kitaifa. (hii alitekeleza)

15. Serikali iendelee kubaki Dodoma na ikiwezekana ikulu ya Dar es salaam pajengwe kituo maalum cha utalii. (haijatimizwa)

NINI KINAFUATA?
 
Chai
 
Wakuu,

Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.

August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.

Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.

Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.

Endelea kusubiri!
Duuh
 
Naona kila dalili ya huu utabiri kutokukamilika kwa 100%
Lakini yote kwa yote, hongera sana Mkuu kwa uwezo wa kutabiri uliopewa.
 
Back
Top Bottom