Uhakiki
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,288
- 7,704
'L' ni jina lipi kwenye majina yake Mkuu2. Majina yanaendana na Majalala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
'L' ni jina lipi kwenye majina yake Mkuu2. Majina yanaendana na Majalala
'L' ni jina lipi kwenye majina yake Mk
'L' ni jina lipi kwenye majina yake Mkuu
Mwa means mtoto wa .... Kama unavyosema Bin Laden; Unaweza kusema Osama Laden ikawa na maana ile ile
Execute again....Mkuu kuna operation imeshapewa next stage.. 'execute'.. itakuwa mixed feelings kwa wengi.
Fungua kidogo mkuuPJKL
Here we go.
Na PJLK ni ipi hiyoDesert mission= DPW mission?
Wamemtafutia sababu kuwa hatoshi?
Usaliti= uhaini?
Yetu yawe macho tu.
ChaiImeamuliwa 'next stage' isitishwe. Baadhi ya maombi ya unyenyekevu ya 'theState':
1. Sheria zifuatwe na zile zisizofaa zibadilishwe.(HAJATEKELEZA)
2. Mwakani (2022) kuwe na mwendelezo wa kuandika katiba ambapo bunge liundwe na lisilazimike kuingiza wabunge waliopo sasa isipokuwa wale wenye tija. (HAKUTEKELEZA)
3. Wabunge wasiokuwa halali waondolewe kutoka bungeni. (HAKUTEKELEZA)
4. Ikiwezekana yale majimbo na kata ambayo ilionekana kabisa kulikuwa na upotoshaji wa matokeo basi uchaguzi urudiwe. Uchaguzi wa serikali za mitaa usubirie mpaka katiba mpya. (Hakutekeleza)
5. Stahiki za wafanyakazi wa umma na wastaafu zilipwe. Fao la kujitoa lirejeshwe kwa wale waliopoteza ajira.(sijui kama alitekeleza)
6. Fungua milango ya nchi ili biashara na mitaji ikaribie na ku-unlock uchumi. Wawekezaji wakaribishwe kwa sera na sheria wezeshi.
7. Wananchi kule kimara walipwe fidia na kwingineko ambapo watu waliumizwa.
8. Ofisi ya DPP na mwanasheria mkuu ifumuliwe na watu watendewe haki.
9. Watendaji wote 'walio-dance the tune' na kuvunja sheria huku wakiumiza watu waondolewe. (hajatekeleza)
10. Miradi ya SGR na Stiegler's iendelezwe pamoja na ile ya barabara lakini upembuzi ufanyike ili ikiwepo isiyo na tija iachwe. (amejitahidi)
11. Kuna tatizo kubwa sana deni la taifa.. angalau punguza sasa kukopa na weka mazingira ili uvutie wawekezaji na hasa wale wa ndani ambao wameficha matrilioni ardhini na nje ya nchi.
(Hajatekeleza)
12. Uchunguzi huru ufanyike kwa yale matukio yote ya utekaji, mauaji na mashambulizi dhidi ya binadamu. (hajatekeleza)
13. Ondoa elimu bure kwasababu inajenga taifa lenye 'irresponsible' minds. Angalia namna ya kubadilisha mfumo wa elimu ili uendane na nyakati tulizonazo.(hajatekeleza)
14. Fanya maridhiano na wapinzani na taasisi zilizotengwa ili kuleta umoja wa kitaifa. (hii alitekeleza)
15. Serikali iendelee kubaki Dodoma na ikiwezekana ikulu ya Dar es salaam pajengwe kituo maalum cha utalii. (haijatimizwa)
NINI KINAFUATA?
DuuhWakuu,
Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.
August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.
Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.
Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.
Endelea kusubiri!

🫨🫨🫨Tumia akili,
Yule mama wa mipasho akishika nchi Chadema kuchukua nchi itakuwa sawa na keserereka kwenye barafu za mlima K'Njaro.
Imeamuliwa 'next stage' isitishwe. Baadhi ya maombi ya unyenyekevu ya 'theState':
1. Sheria zifuatwe na zile zisizofaa zibadilishwe.(HAJATEKELEZA)
2. Mwakani (2022) kuwe na mwendelezo wa kuandika katiba ambapo bunge liundwe na lisilazimike kuingiza wabunge waliopo sasa isipokuwa wale wenye tija. (HAKUTEKELEZA)
3. Wabunge wasiokuwa halali waondolewe kutoka bungeni. (HAKUTEKELEZA)
4. Ikiwezekana yale majimbo na kata ambayo ilionekana kabisa kulikuwa na upotoshaji wa matokeo basi uchaguzi urudiwe. Uchaguzi wa serikali za mitaa usubirie mpaka katiba mpya. (Hakutekeleza)
5. Stahiki za wafanyakazi wa umma na wastaafu zilipwe. Fao la kujitoa lirejeshwe kwa wale waliopoteza ajira.(sijui kama alitekeleza)
6. Fungua milango ya nchi ili biashara na mitaji ikaribie na ku-unlock uchumi. Wawekezaji wakaribishwe kwa sera na sheria wezeshi.
7. Wananchi kule kimara walipwe fidia na kwingineko ambapo watu waliumizwa.
8. Ofisi ya DPP na mwanasheria mkuu ifumuliwe na watu watendewe haki.
9. Watendaji wote 'walio-dance the tune' na kuvunja sheria huku wakiumiza watu waondolewe. (hajatekeleza)
10. Miradi ya SGR na Stiegler's iendelezwe pamoja na ile ya barabara lakini upembuzi ufanyike ili ikiwepo isiyo na tija iachwe. (amejitahidi)
11. Kuna tatizo kubwa sana deni la taifa.. angalau punguza sasa kukopa na weka mazingira ili uvutie wawekezaji na hasa wale wa ndani ambao wameficha matrilioni ardhini na nje ya nchi.
(Hajatekeleza)
12. Uchunguzi huru ufanyike kwa yale matukio yote ya utekaji, mauaji na mashambulizi dhidi ya binadamu. (hajatekeleza)
13. Ondoa elimu bure kwasababu inajenga taifa lenye 'irresponsible' minds. Angalia namna ya kubadilisha mfumo wa elimu ili uendane na nyakati tulizonazo.(hajatekeleza)
14. Fanya maridhiano na wapinzani na taasisi zilizotengwa ili kuleta umoja wa kitaifa. (hii alitekeleza)
15. Serikali iendelee kubaki Dodoma na ikiwezekana ikulu ya Dar es salaam pajengwe kituo maalum cha utalii. (haijatimizwa)
NINI KINAFUATA?
Soma historia ya Goodluck Jonathan wa Nigeria..
Hiyo ya ford cha mtoto
Mkuu Tumia akili jitokeze uvunje nazi hii badala ya kuitupa njia panda watu wanapagawaNaona kila dalili ya huu utabiri kutokukamilika kwa 100%
Lakini yote kwa yote, hongera sana Mkuu kwa uwezo wa kutabiri uliopewa.
Ankoli, .....Mama atapita tu kwa muda, yupo atakayechukua ipasavyo.
Jaribu kuangalia Tena Kwa makiniNaona kila dalili ya huu utabiri kutokukamilika kwa 100%
Lakini yote kwa yote, hongera sana Mkuu kwa uwezo wa kutabiri uliopewa.
Sawa MkuuJaribu kuangalia Tena Kwa makini