NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
JAL 1 tayari huyo ni Maembe,2 ni nywele nyeupe!,3 ni Dubai!!Aliyeelewa atufafanulie
Na msemaji wa mabaka kaanza na operation yao hiyo BADO Siku TATU!
Tuendelee kusubiri!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JAL 1 tayari huyo ni Maembe,2 ni nywele nyeupe!,3 ni Dubai!!Aliyeelewa atufafanulie
Kwenye ulimwengu wa roho anaonekana yupo kwenye kiti natena hayupo.Nimegundua wagalatia mnamchukia Rais, sahauni kupewa mamlaka , forevermore
Muda umewapa majibu 😀Ngoja muda utupe muda mkuu.
Kigogo siku hizi analamba asali Kazimkazi hivyo hawezi kusema tena kama alivyomshupalia Jiwe!!Kwani Kigogo anasemaje[emoji3]
"Not everything is for everybody"
Huyo mama yenu kama anaenda, aende tu!Dah Eeh Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo mlimde mama yetu.
Ila dunia ina mengi sana
Kimsingi JAL 2, tayari... Na hyu KM nae kashawekwa Kando... Yajayo yanachanganya😇😇😇Huo hapo chini.
Wakuu
Mwaka 1779 jenerali wa Marekani, Benedict Arnold, alianza kuingia makubaliano ya usaliti na majeshi ya uingereza ili kuwasaidia kushinda vita kule Marekani.
Mkakati wake kudhoofisha ngome pale New York uligundulika na aliyekuwa handler wake upande wa uingereza meja John Andre alikamatwa na majeshi ya Marekani na kunyongwa.
Upande wa pili nikawa nimeingia ofisini kwa director nikakuta mazungumzo fulani nikahitaji ufafanuzi.
Nikauliza mbona ilisitishwa? Akajibu, "that's above your paycheck". Nikamwambia hata bado hajastaafishwa akajibu, "JAL 1 is done, 2 and 3 are next".
Nikasema mbona kitabu na fdr hamna dalili akasema stop huku akinionesha nitoke pale ofisini. Basi nikainuka na kusema nilishaaga akajibu, "taarifa zinatoka juu kuja chini".
Akabonyeza namba kwenye simu wakati namalizia kutoka nikasikia anatamka "code PJLK, next stage is ON, desert mission, original plan, over and out."
Nilisikia mlango unagongwa kumbe ni binti yangu aliyekuwa anatoka alfajiri. Hapo nikajua kumbe ilikuwa ni ndoto.
Just a few days.
theState.
Hofu yako tu.Kimsingi JAL 2, tayari... Na hyu KM nae kashawekwa Kando... Yajayo yanachanganya😇😇😇
Majina ya watu watakao sepeshwa Ili kukamilisha mission:-Na PJLK ni ipi hiyo
Mkuu, Kuna tukio lolote unaloliona litatokea mwakani au hata mwaka huu?Wakuu,
Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.
August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.
Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.
Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.
Endelea kusubiri!
Mkuu Jambo dogo Kama hili haulijui kweli? Shadow government ipo kokote Duniani na ndio inayo run Nchi hata Rais hawezi kuwafahamu maisha yake yoteeee.Hv wadau kama anachosema mtoa mada ni kweli hv ni nan katika nchi hii ni engineer wa kupanga hii mipango wakati Rais ndo top. Kuanzia mkurugenzi wa usalama wa taifa na vyombo vingine vya usalama wote wanaripoti kwake. Au kuna mtu mwngine nje ya mfumo Mwenye uwezo wa kuwaendesha hawa watendaj wengine bila rais kufaham?
Utapeli tu, hakuna kitu kama hicho.Mkuu Jambo dogo Kama hili haulijui kweli? Shadow government ipo kokote Duniani na ndio inayo run Nchi hata Rais hawezi kuwafahamu maisha yake yoteeee.
Aliishiwa pumzi baada ya membe kukata moto 😆😆Binafsi sioni dalili zozote zaidi ya kuona teuzi na tenguzi pekee. Japo mwenye uzi wake hajawahi kutokeza hadharani kubatilisha alichokiandika ngoja tuone mpaka mwisho wa mwaka huu.
The state walipokuwa kazini.Wakuu,
Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake.
August ya mwaka 1974, Rais Richard Nixon alijiuzulu kufuatia skendo ya Watergate. Hapo ikabidi makamu wa Rais, bwana Gerald Ford aapishwe kuwa Rais wa Marekani.
Unaweza kuona jinsi Ford alivyokuwa na bahati. Hakuwahi kugombea umakamu wa Rais au Urais wenyewe lakini alishika vyeo vyote hivyo kwa nyakati tofauti zinazofuatana.
Nimeandika hii habari kuonyesha yanayokuja soon.
Endelea kusubiri!
Sio kwamba membe ni JAL 1 halafu JAL 2 ni nywele nyeupe!!?Aliishiwa pumzi baada ya membe kukata moto 😆😆
Nywele nyeupe sio, endelea kusubiri JAL 2 na 3.Sio kwamba membe ni JAL 1 halafu JAL 2 ni nywele nyeupe!!?