Tetesi: Rais amwita Makonda Ikulu asubuhi hii

Tetesi: Rais amwita Makonda Ikulu asubuhi hii

Status
Not open for further replies.
Huyu mkaka asipoangalia atatumbuliwa na usikute j kusaga kashampandia hewani mkulu kumuhadithia alichokifanya nwanae usiku wa jana katika ofisi za clouds

Hivyo hapo anaenda kuulizwa ajiielezee vizuri
 
Tunahitaji kujua kilichoko kati ya JPM na huyu RC!!
inakuwaje shutuma zote hizi JPM kimya??
Yaani hadi kuvamia studio na silaha. Hii nchi haina intelijensia ya kumshauri mkuu??
Au ni home boy acha afanye atakalo kaka atamlinda...
 
Kodi zetu tunazohamasishwa kulipa zinatumika kuwabeba askari waliovaa nembo za taifa viunoni na vichwani tena wakiwa na bunduki,waende clouds kufuatilia video ya shilawadu?

Askari hawa waliopigana vita ya kagera?

Askari hawa waliopigana Moroni komoro?

Askari hawa walioituliza Kongo DR?

Askari hawa wenye sifa duniani kote ya kulikomboa bara la afrika?

Wanafanyishwa kazi ya kutafuta shilawadu?

Darasa alisema "too much"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom