Tetesi: Rais amwita Makonda Ikulu asubuhi hii

Tetesi: Rais amwita Makonda Ikulu asubuhi hii

Status
Not open for further replies.
Labda kelele za vyura zinamnyima ng'ombe raha ya kunywa maji.No longer at ease!
 
Za Jumapili wadau!

Imevuja;
Toka ndani ya viunga vya Magogoni ni kuwa Rais kamuita Mkuu wa Mkoa wa Dsm kwa mazungumzo/mahojiano.

Haijajulikana wazi sababu hasa ya kuitwa kwake, more news to come!

Source: mtu wa karibu na Mkuu wa mkoa
Kuna makengeza hapa.... Mbona wengine waliwajibishwa on the spot without hata kuitwa kwa msg!
 
Hata akimtumbua haina maaana hadi tupige makwelewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom