Tetesi: Rais amwita Makonda Ikulu asubuhi hii

Tetesi: Rais amwita Makonda Ikulu asubuhi hii

Status
Not open for further replies.
Mwambie rais kuwa huyu muhuni tunemchoka,anaharibu image ya kiongozi mkuu.
Nimeamini huyu alimpiga Warioba,kwa huu uvamizi wa kituo cha redio,hawezi kunishawishi kuwa alikuwa anamuokoa.
Mkuu amembeba sana,inatosha,sasa ampumzishe,kuna tatizo la ufikiri kwa huyu mtu,pengine ufinyu wa elimu,ustaarabu na adabu ni tatizo.
 
Tunahitaji kujua kilichoko kati ya JPM na huyu RC!!
inakuwaje shutuma zote hizi JPM kimya??
Yaani hadi kuvamia studio na silaha. Hii nchi haina intelijensia ya kumshauri mkuu??
Au ni home boy acha afanye atakalo kaka atamlinda...
Mkuu kibaya zaidi ni kutumia silaha
 
Kodi zetu tunazohamasishwa kulipa zinatumika kuwabeba askari waliovaa nembo za taifa viunoni na vichwani tena wakiwa na bunduki,waende clouds kufuatilia video ya shilawadu?

Askari hawa waliopigana vita ya kagera?

Askari hawa waliopigana Moroni komoro?

Askari hawa walioituliza Kongo DR?

Askari hawa wenye sifa duniani kote ya kulikomboa bara la afrika?

Wanafanyishwa kazi ya kutafuta shilawadu?

Darasa alisema "too much"

umenifanya nitoke na machoz nikifkiria askar wanavopata tabu mipakan huko kutulinda halafu wengne wanakubali kutumika kwenye ushilawadu!

makonda wakat anaenda clouds alisahau kama yeye ni RC
 
Yani mkuu wa mkoa kuitwa Ikulu basi imekuwa story!!?
Comment za hapo juu zinashangaza sana
Yani tetesi ya mkuu wa mkoa kuitwa ikulu, haina uhakika ni tetesi na pia hata alichoitiwa hakijafahamika.
Mtu unakuja mbio humu.!
 
Kodi zetu tunazohamasishwa kulipa zinatumika kuwabeba askari waliovaa nembo za taifa viunoni na vichwani tena wakiwa na bunduki,waende clouds kufuatilia video ya shilawadu?

Askari hawa waliopigana vita ya kagera?

Askari hawa waliopigana Moroni komoro?

Askari hawa walioituliza Kongo DR?

Askari hawa wenye sifa duniani kote ya kulikomboa bara la afrika?

Wanafanyishwa kazi ya kutafuta shilawadu?

Darasa alisema "too much"

umenifanya nitoke na machoz nikifkiria askar wanavopata tabu mipakan huko kutulinda halafu wengne wanakubali kutumika kwenye ushilawadu!

makonda wakat anaenda clouds alisahau kama yeye ni RC
 
Yaani [HASHTAG]#bashite[/HASHTAG] lazima tukutoe iwe isiwe lazima uende.
 
"This is obvious not the beginning of the end,it's the END OF THE END"of Daudi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom