Tetesi: Rais amwita Makonda Ikulu asubuhi hii

Tetesi: Rais amwita Makonda Ikulu asubuhi hii

Status
Not open for further replies.
Ku
Tunahitaji kujua kilichoko kati ya JPM na huyu RC!!
inakuwaje shutuma zote hizi JPM kimya??
Yaani hadi kuvamia studio na silaha. Hii nchi haina intelijensia ya kumshauri mkuu??
Au ni home boy acha afanye atakalo kaka atamlinda...
Kuvamia studio hakuna tofauti na Jambazi wanaoteka nk
 
243fd950899a2bcc26b73e8344f0ef36.jpg

Jamani kwa ushahidi huu kunaitajika kujua cheti cha clinic kilicho onyeshwa na huyo anaejiita alizalishwa na Gwajima kua nani alikiandaa, tafadhari tu naomba mamlaka kutokufumbia macho haya mambo mwisho wake utakua mbaya sana.
Pale akili ndogo inapojarib kuipiku akili kubwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
This could have been stage managed ili mkulu amtumbue kwa kisingizio cha kutumia madaraka vibaya-na sio kuhusiana na vyeti-Tanzanians,we need to look at the bigger picture
Jackline nimependa ulivyofikiri... yes inawezakana kuwa hii ishu ni staged ili mkulu amwondoe kwa ushu nyingine.. lakin si ile ishu ya vyeti ili kukwepa aibu
 
Haaaaaaaaaa ndo nini inamaana Ujuwi kuwa ikulu iko Dar, na mkuu wa Mkoa nadhani unamjuwa hakuna cha ajabu hapo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom