Tetesi: Rais amwita Makonda Ikulu asubuhi hii

Tetesi: Rais amwita Makonda Ikulu asubuhi hii

Status
Not open for further replies.
Naona RC Makonda aliwagusa watu wengi kutangaza watuhumiwa wa biashara ya madawa ya kulevya, kiasi wanatamani na kumwombea mabaya.

VITA INOGILE na siyo ngoma ati

Kumbe hii single bado kuna vituo bado wanaicheza???
 
Za Jumapili wadau!

Imevuja;
Toka ndani ya viunga vya Magogoni ni kuwa Rais kamuita Mkuu wa Mkoa wa Dsm kwa mazungumzo/mahojiano.

Haijajulikana wazi sababu hasa ya kuitwa kwake, more news to come!

Source: mtu wa karibu na Mkuu wa mkoa
Mange sio wa mchezo mchezo. Watu wangeiona jumapili ya leo mbaya
 
Za Jumapili wadau!

Imevuja;
Toka ndani ya viunga vya Magogoni ni kuwa Rais kamuita Mkuu wa Mkoa wa Dsm kwa mazungumzo/mahojiano.

Haijajulikana wazi sababu hasa ya kuitwa kwake, more news to come!

Source: mtu wa karibu na Mkuu wa mkoa
Kumbukumbu zinaonyesha kua jumapili sio siku nzuri sana kwa rekodi za JPM,hata mama Ake le mutuz alipigwa nyundo jumapili...kwa kua bado siku haijaisha na hivi sasa ni saa tano na dakika 08 ngonja tuendelee kusubiri mambo ya Msigwa "Taarifa kwa vyombo vya habari"
 
Umeandika Kwa Masikitiko Sana.

Pole mfuasi wa Bashite from Kolomije. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Katika maisha haya hakuna mjanja, mjanja ni aliyeiumba, hivyo ukijishusha, Yeye ndiyo ana take over! Acha Karma ifanye kazi! Kazi ya damu na nyama umekwisha! Mkumbuke mrusi na Napoleon! Acha uumbaji ufanye kazi yake! Have a nice Sunday!
 
Za Jumapili wadau!

Imevuja;
Toka ndani ya viunga vya Magogoni ni kuwa Rais kamuita Mkuu wa Mkoa wa Dsm kwa mazungumzo/mahojiano.

Haijajulikana wazi sababu hasa ya kuitwa kwake, more news to come!

Source: mtu wa karibu na Mkuu wa mkoa
Kwahiyo kimenuka kwa mjomba..??
Ama kweli aliyeimba "la kuchumpa la kumpa rama" hakukosea kabisa.
 
Naona RC Makonda aliwagusa watu wengi kutangaza watuhumiwa wa biashara ya madawa ya kulevya, kiasi wanatamani na kumwombea mabaya.

VITA INOGILE na siyo ngoma ati

Nyie ndio mnalea ujinga wa Bashite kwa kivuli cha vita vya madawa ya kulevya. Ukiwa makini utaona kwamba hata ingekuwa vita dhidi kuvaa chupi chafu, kwa mwenendo wake tungekuwa hapa hapa. Acha "herd mentality" na jufunze kutafakari
 
Hata Ridhiwani hakuwahi kufanya upumbavu huu japo baba yake mzazi ndiye aliyekuwa rais, wakuu Jpm kuna kitu ambacho anajua Makonda anamfichia ndiyo maana hamtumbui
 
Tunahitaji kujua kilichoko kati ya JPM na huyu RC!!
inakuwaje shutuma zote hizi JPM kimya??
Yaani hadi kuvamia studio na silaha. Hii nchi haina intelijensia ya kumshauri mkuu??
Au ni home boy acha afanye atakalo kaka atamlinda...
msukuma mwenziwee na wote ni wanufaika wa GSM
 
Magu hata amtumbue bado sina imani tena na raisi
Tumalizane na huyu dogo kwanza aliyemea pembe na kujiona Mungu katika jiji hili.Kisha huyo mwingine tumuweke kiporo, ila tunaweza kutengeneza historia mpya katika taifa asipokuwa makini.Tatizo ni wana underestimate nguvu ya umma.Kitendo cha mh. Lissu kushinda katika uchaguzi wa jana licha ya mikwara na vitisho vya kila namna, inaonyesha kiashiria cha karipio kwa mkuu kwamba ajitafakari upya na pia inaonyesha taswira ni kiasi gani serikali imekosa ushawishi kwa watu inao waongoza na inachofanya sasa ni kutumia ubabe na vitisho.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom