Tetesi: Rais amwita Makonda Ikulu asubuhi hii

Tetesi: Rais amwita Makonda Ikulu asubuhi hii

Status
Not open for further replies.
Mange katupia clip nyingine Kali zaidi
 
Eeh Mungu napiga magoti mbele yako baba, nikimuombea mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam aweze kutumbuliwa softly... Amen
 
apokelewe na jwtz maana polisi naona kazi imewaahinda. akalale segerea. anatumia madaraka ovyo
 
Kamvua boksa Makomeo kwa alichokifanya clouds juzi usiku

Na wale maaskari waliokubali kumsindikiza bashite clouds nao wawajibishwe
 
NYIE MNALICHUKULIA HILI SWALA KAMA JAMBO DOGO,HILI NI NGAZI YA USALAMA WA TAIF......OHOOO
 
Yeye angetulia apige kazi za nguvu hili La kuendeleza bifu zitazidi kumchafua na kumuumbua zaid,
 
Kodi zetu tunazohamasishwa kulipa zinatumika kuwabeba askari waliovaa nembo za taifa viunoni na vichwani tena wakiwa na bunduki,waende clouds kufuatilia video ya shilawadu?

Askari hawa waliopigana vita ya kagera?

Askari hawa waliopigana Moroni komoro?

Askari hawa walioituliza Kongo DR?

Askari hawa wenye sifa duniani kote ya kulikomboa bara la afrika?

Wanafanyishwa kazi ya kutafuta shilawadu?

Darasa alisema "too much"
Ndo hivi Taasisi ya Urais ilisema inawapenda'ndo maana RC kaenda kulazimisha habari itolewe.
 
Kitendo cha jwtz kuhusika au kuonekana kwenye CCTV mbaya sana raisi achukue hatua chap
 
Nimwaminkwa kiasi mh.rais lakin kuhusu huyu mtu nakosa iman na rais maana inawezekana kuna siri nzito sana ndani , wengine mbona walitolewa bila hata kuitwa? Hii ya kuitwa inamaana kuna negotiations baina yao ,
Mapenzi yana nguvu ati
 
19f11425e8390818d9cdf106ed00eac8190c96b2.gif
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom