Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kunywa soda kwa mangi bili kwanguhivi we mwanamke unakazwa na Bashite??? Siku yakitokea utayakana matapishi yako haya
Tuwekee nasi hapa tuicheki kiongozi
Nyie ndio mnalea ujinga wa Bashite kwa kivuli cha vita vya madawa ya kulevya. Ukiwa makini utaona kwamba hata ingekuwa vita dhidi kuvaa chupi chafu, kwa mwenendo wake tungekuwa hapa hapa. Acha "herd mentality" na jufunze kutafakari
Leo si ni jumapili na Mkulu huwa analipuka jumapili. tuombe Mungu tu fisadi, mnyanyasaji na mtu mwenye majivuno yaliyopitiliza apigwe chini. Binafsi namuonea huruma na iliniuma sana yule Dada afisa Ardhi alivyoitwa kichaa.Za Jumapili wadau!
Imevuja;
Toka ndani ya viunga vya Magogoni ni kuwa Rais kamuita Mkuu wa Mkoa wa Dsm kwa mazungumzo/mahojiano.
Haijajulikana wazi sababu hasa ya kuitwa kwake, more news to come!
Source: mtu wa karibu na Mkuu wa mkoa
Bampa 2 Bampa" watanzania tume elimika na tunajitambua sana this time..Tumalizane na huyu dogo kwanza aliyemea pembe na kujiona Mungu katika jiji hili.Kisha huyo mwingine tumuweke kiporo, ila tunaweza kutengeneza historia mpya katika taifa asipokuwa makini.Tatizo ni wana underestimate nguvu ya umma.Kitendo cha mh. Lissu kushinda katika uchaguzi wa jana licha ya mikwara na vitisho vya kila namna, inaonyesha kiashiria cha karipio kwa mkuu kwamba ajitafakari upya na pia inaonyesha taswira ni kiasi gani serikali imekosa ushawishi kwa watu inao waongoza na inachofanya sasa ni kutumia ubabe na vitisho.
Kuwaza na kujiaminisha kwa hisia tu ni shidaaaaaH
Leo hajaenda church mkuu wa mkoa eeh[emoji23][emoji23][emoji23]Hajaamkia msikitini au kanisani kwenda kulia?
Alikua mbali na MagogoniMama Kilango hakuitwa kujadiliana alitoa tamko ila Bashite anaitwa kujadiliana!!!! Ni nchi hii tu unaweza ona ujinga wa aina hii
Na hao wengine wajue mwenzao akinyolewa zako tia maji..... Mond nakupenda kwa ili kuwa makiniNilishawahi kuandika bandiko la Uswahiba huu wa Makonda na Clouds Media Group na hadi nikamwonya Makonda kuwa kuna siku hawa hawa akina Kusaga na Ruge ambao Yeye anawaona ni Marafiki zake watakuja kumponza na kumuharibia lakin katika ule uzi nilidhihakiwa na kutukanwa mno ila namshukuru Mwenyezi Mungu nilichokiandika katika ule uzi wangu jana kimeanza kutimia. Ninamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunipa maono na umakini uliotukuka juu ya mambo ambayo huwa nayasema au kuyaanzisha humu. Utafuteni huo uzi kwani upo humu humu. Ama hakika asiyesikia la Mkuu huvunjika Mguu.
It is logic that prevails over emitionsLogic vs emotions. Wewe uko wapi?
MkuuKodi zetu tunazohamasishwa kulipa zinatumika kuwabeba askari waliovaa nembo za taifa viunoni na vichwani tena wakiwa na bunduki,waende clouds kufuatilia video ya shilawadu?
Askari hawa waliopigana vita ya kagera?
Askari hawa waliopigana Moroni komoro?
Askari hawa walioituliza Kongo DR?
Askari hawa wenye sifa duniani kote ya kulikomboa bara la afrika?
Wanafanyishwa kazi ya kutafuta shilawadu?
Darasa alisema "too much"
Waache waendelee na dharaaaaauuuuuuuuu kwa watanzaniaHuyu Bashite anayemng'ang'ania hivi na kumkingia kifua soon atamuacha uchi bila nguo. Mambo yanazidi kuwa dhahiri kadri siku zinavyosogea na aibu inazidi. Yaani mtu hadi anaamua kutumia vyombo vya dola kuvamia kituo cha habari kitangaze anayotaka bado mheshimiwa hahisi tu kuwa kuna sababu za kumchunguza huyu "malaika" wake?