Tetesi: Rais amwita Makonda Ikulu asubuhi hii

Tetesi: Rais amwita Makonda Ikulu asubuhi hii

Status
Not open for further replies.
Atakuwa amemuita ili ampongeze kwa kufanya halfa nzuri na ya kitaifa ya kuadhimisha mwaka mmoja wa U-RC
 
Hii ndio raha ya jamiiforum mimi unayeniita nyenyere na wewe wote tupo uwanjammoja.
 
Huyo huyo alie kupandisha ndie atakae kushusha, clouds walifanikisha sana huyu bashite kupata ukuu wa mkoa. Na sasa hao hao wanamchomesha!

Nilishawahi kuandika bandiko la Uswahiba huu wa Makonda na Clouds Media Group na hadi nikamwonya Makonda kuwa kuna siku hawa hawa akina Kusaga na Ruge ambao Yeye anawaona ni Marafiki zake watakuja kumponza na kumuharibia lakin katika ule uzi nilidhihakiwa na kutukanwa mno ila namshukuru Mwenyezi Mungu nilichokiandika katika ule uzi wangu jana kimeanza kutimia. Ninamshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunipa maono na umakini uliotukuka juu ya mambo ambayo huwa nayasema au kuyaanzisha humu. Utafuteni huo uzi kwani upo humu humu. Ama hakika asiyesikia la Mkuu huvunjika Mguu.
 
Mpaka saivi sijapiga mswaki [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji119]
 
243fd950899a2bcc26b73e8344f0ef36.jpg

Jamani kwa ushahidi huu kunaitajika kujua cheti cha clinic kilicho onyeshwa na huyo anaejiita alizalishwa na Gwajima kua nani alikiandaa, tafadhari tu naomba mamlaka kutokufumbia macho haya mambo mwisho wake utakua mbaya sana.
 
Kama mbeleko ilombeba kaichana daah. Sipati picha kibonde atamchambaje huyu msela
 
Ameitwa au amepeleka barua yake ya kujiuzulu?Maana kama ni kweli alienda kufanya fujo huko Mawingu wala Rais hana haja ya kumuita tutapewa taarifa tu na Msigwa kuwa jamaa "katumbuliwa" baaasi!
 
Single touch double manifestation[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Za Jumapili wadau!

Imevuja;
Toka ndani ya viunga vya Magogoni ni kuwa Rais kamuita Mkuu wa Mkoa wa Dsm kwa mazungumzo/mahojiano.

Haijajulikana wazi sababu hasa ya kuitwa kwake, more news to come!

Source: mtu wa karibu na Mkuu wa mkoa
Nimwaminkwa kiasi mh.rais lakin kuhusu huyu mtu nakosa iman na rais maana inawezekana kuna siri nzito sana ndani , wengine mbona walitolewa bila hata kuitwa? Hii ya kuitwa inamaana kuna negotiations baina yao ,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom