Tetesi: Rais amwita Makonda Ikulu asubuhi hii

Tetesi: Rais amwita Makonda Ikulu asubuhi hii

Status
Not open for further replies.
Za Jumapili wadau!

Imevuja;
Toka ndani ya viunga vya Magogoni ni kuwa Rais kamuita Mkuu wa Mkoa wa Dsm kwa mazungumzo/mahojiano.

Haijajulikana wazi sababu hasa ya kuitwa kwake, more news to come!

Source: mtu wa karibu na Mkuu wa mkoa
Labda ishu ya SHILAWADU
 
Aina haja ya kubeti mkuu, punguza povu. Nisome kwa umakiiiiini. Makonda yuposana, mnapiga majunguuu lakini ilo usitegemee litatokea leo au kesho. Na kinachomfanya aendelee kuwepo ni uthubutu, ujasiri na upambanaji.
Kama ni mpira wa miguu basi makonda anawalaza na viatu, kuanzia mwenyekiti wenu mbaka wafuasi.
Tulieni sindano ziwaingie. Tanzania bila madawa ya kulevya inawezekana. [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Poise ahahaha,have a good sunday then,najua hapo umebakiza masaa 4 na nusu kuingia jumatatu!
All the best!
 
Huyu Mzee anajidharirisha sana kwa kumuacha huyu dogo akiendelea kupeta huku akijua kabisa kafoji cheti cha form four pia anatumia mali za watuhumiwa wa madawa ya kulevya!!!! Bado tu unamvumilia mtu kama huyu!!!! Rais hutakiwi kuwa na double standard kwa wananchi wako, basi aseme hadharani wale waliofukuzwa kazi kwa kutumia vyeti vya watu warudishwe makazini , kwani hata wao walikuwa wachapa kazi hodari kushinda hata huyu bashite.
Sasa tena Dogo kaingia shilawadu Mzee kama ataendelea ku mute basi itabidi wananchi tuhoji huu uhusiano wao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom