Tetesi: Rais amwita Makonda Ikulu asubuhi hii

Tetesi: Rais amwita Makonda Ikulu asubuhi hii

Status
Not open for further replies.
Mama Kilango hakuitwa kujadiliana alitoa tamko ila Bashite anaitwa kujadiliana!!!! Ni nchi hii tu unaweza ona ujinga wa aina hii
 
Hivi kesharudi sauzi eeh!!!

Acha tuone movie itakapoishia
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Za Jumapili wadau!

Imevuja;
Toka ndani ya viunga vya Magogoni ni kuwa Rais kamuita Mkuu wa Mkoa wa Dsm kwa mazungumzo/mahojiano.

Haijajulikana wazi sababu hasa ya kuitwa kwake, more news to come!

Source: mtu wa karibu na Mkuu wa mkoa
imekula kwake rasmi.
 
Sasa ajabu ni nini yule ni mkuu wa mkoa so kuitwa ni kawaida na si mara ya kwanza!

Muhimu ni Vyeti tu
 
Adi sasa iv akuna break news
Daah ngoja niende zangu kwa Gwajima tuuh
 
Za Jumapili wadau!

Imevuja;
Toka ndani ya viunga vya Magogoni ni kuwa Rais kamuita Mkuu wa Mkoa wa Dsm kwa mazungumzo/mahojiano.

Haijajulikana wazi sababu hasa ya kuitwa kwake, more news to come!

Source: mtu wa karibu na Mkuu wa mkoa
Ukitaka kubaki salama,kaambali na BASHITE
 
nasubilia habari zilizotufikia punde mh rais atengua ukuu wa mkoa wa BASHITE na mamlaka zinazohusika zichukue hatua mara moja nasema kutoka moyono kwa kuwa mimi ni msema kweli

IKITOKEA HIVYO JPM ATAKUWA KAWEKA USAWA MBELE YA SHERIA LAKINI LABDA ATAFANYA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom