Tetesi: Rais amwita Makonda Ikulu asubuhi hii

Tetesi: Rais amwita Makonda Ikulu asubuhi hii

Status
Not open for further replies.
Huyo ni Raisi wa Dar es salaam,razima aitwe Ikulu kujadiliana Mambo mbalimbali ya kimkoa
 
Yaani mnajaza server kusubiri Makonda atumbiliwe? Makonda ni mwiba, ataendelea kuwachoma kwa mda mrefu sana. Mbaka mtakapokubali kama mmeshindwa atakua amewaletea athari kubwa kisaikolojia.
Yaani tangu una amka mbaka unalala yaani akiliinamfikilia makonda tu.
Wewe ndio kwanza umejiunga leo jf kuja kumtetea makonda?nyenyere wewe
 
Ningekuwa mkuu wa majeshi hao ingekuwa saa hii wako lockup
Mkuuu, kumbuka RC ni commsn ya RAIS. Yupo on behalf ya president na jeshi linatiii maelekezo ya wakuuu.

Hapo wa kuwajibishwa ni huyo aliyetoa oda hao askari kwenda huko.


Pia inawezekana statement aliyotoa wakati anafata hao askari kwa wakuuu ni tofauti na alilioenda.
 
Unathibitisha vipi kuwa hiyo ni clouds tv studio??
Kwahiyo alikuwa anaingia efm ? Kufanya nini na wanajeshi saa 4.46 usiku tarehe 17.03.207 siku ya ijumaa ambayo ndio kipindi cha shilawadu kinaruka hewani?
 
Kosa alilofanya hafai tena kuwa kiongozi wa umma! Anatum madaraka yake vibaya!!! Amtoe amtoe amtoe!! Kwanza ana anatakiwa ashitakiwe haraka sana!!! I jinai , vyeti! JPM una nini na Bashite???
 
Kwahiyo alikuwa anaingia efm ? Kufanya nini na wanajeshi saa 4.46 usiku tarehe 17.03.207 siku ya ijumaa ambayo ndio kipindi cha shilawadu kinaruka hewani?
Kaa pembeni, point yako haina mashiko!
Thibitisha hapo ni clouds tv, weka hisia pembeni.
 
Au Magu hili swala la Makonda alinyamaza makusudi aendelee kuharibu mwisho wa siku amuweke magereza anavyo penda sifa mzee yule na halimashauri ya kichwa chake hakina meya wala diwani ngoja tuone
 
Bashite Na Hao Askari Wote Wanatakiwa Kukamatwa Haraka Sana
Hivi Sheria Iko Kimya
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom