Tetesi: Rais amwita Makonda Ikulu asubuhi hii

Tetesi: Rais amwita Makonda Ikulu asubuhi hii

Status
Not open for further replies.
Shigha vigwirane kangi [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] apa ngoja nichanganye tu na kilugha maana patam ndo kwanza nimejiunga halachachi[emoji41] [emoji41] Naangalia kwa ukarbu wa hali ya juu
 
Yani mkuu wa mkoa kuitwa Ikulu basi imekuwa story!!?
Comment za hapo juu zinashangaza sana
Yani tetesi ya mkuu wa mkoa kuitwa ikulu, haina uhakika ni tetesi na pia hata alichoitiwa hakijafahamika.
Mtu unakuja mbio humu.!
Pumbafu. Wewe mwenyewe umeletwa nini hapa?
 
Angalien video ya uvamizi aliyofanya clouds imesambaa tayari ...kama la cheti amekua kama gogo je hili atajificha wapi???
Nchi yetu tunakwemda wapi
Unaingia kazn kwang na silaha ya kivita kunitishia niende kinyume na taratibu za kazi yangu ?????
afu kila siku kuna wasengenyaji wanatuambia Tanzania kuna amani
 
Nikweli huyu jamaa alivamia pale clouds ? Make hata mimi nilikuwa nafatilia kipindi kikaisha gafla tu yani bila kuelewa huku nikisubiri mara matangazo
Mkuu hiyo ndio hali halisi na kuna clip inatembea
 
Naomba Mimi na Wewe tubeti Mkuu Mimi naweka mtonyo Wewe niwekee mbunye yako au nyero lako tu nakuhakikishia RC Makonda muda wowote Rais JPM anatengua Ukuu wake wa Mkoa. Nasubiri jibu la Kubetiana.
Genta, kubeti huko mbona umekwenda mbali! Yasipotokea?
 
Mungu wangu Makonda anaharibu kipindi anachokipenda mkuu?? Na juzi juzi alipiga simu, yawezekana mzee alikaa kwenye tv anashtukia tuu ghafla kipindi kimekatika aisee jamanii. Magufuli Makonda usipomtumbua wananchi watajua la kufanya wengine uliwatumbua hadharani je huyu dogo ana nini cha zaidi???
 
Huyu mkaka asipoangalia atatumbuliwa na usikute j kusaga kashampandia hewani mkulu kumuhadithia alichokifanya nwanae usiku wa jana katika ofisi za clouds

Hivyo hapo anaenda kuulizwa ajiielezee vizuri
CCTV inaonyesha ni ijumaa usiku
 
Maprofesa wote Wa dar kuongozwa na mtu Mwenye zero ni aibu ona sasaaa...!!!
 
Daudi Bashite on Instagram: “***** ile story ya Jana ni kweli ushahidi huu hapa....Unaambiwa hapo wanajeshi wengine walibaki nje wanalinda mtu asiingie wala asitoke…”
nje hakuna CCTV cameras? wekeni tuwaone hao wanajeshi,, au hiyo footage mbona sioni mtu yeyote aliewekwa chini ya ulinzi? huyo mtu wa mapokezi mbona hana wasiwasi wowote??
 
Yamkini kaitwa kuelezea mrejesho wa mipango pangwa.
Najaribu tu kujiuliza, sizonje kupiga simu na kusema anapenda shilawadu show and few days later same show kutakiwa kurusha upuuzi. Najaribu kuwaza kwa sauti kwamba sizonje alikuwa anataka kuongeza viewers kabla ya kuachilia BOMU walilodhani litatuoa kwenye reli. Acha niendelee kutafakari, labda leo tutaonyeshwa vyeti.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom