Tetesi: Rais amwita Makonda Ikulu asubuhi hii

Tetesi: Rais amwita Makonda Ikulu asubuhi hii

Status
Not open for further replies.
ila kama kweli makonda ndo kafanya hiv atakuwa amezngua kinyama..
maana watu walikuwa wameanza kusahau sahau iyo ishu yake ye angetulia kimya...lakin kaamua kuharibu kazi..
magu kamkingia kifua..nahis kachoka sasa..
.. he haz started d ball and they r playn on...
 
Kodi zetu tunazohamasishwa kulipa zinatumika kuwabeba askari waliovaa nembo za taifa viunoni na vichwani tena wakiwa na bunduki,waende clouds kufuatilia video ya shilawadu?

Askari hawa waliopigana vita ya kagera?

Askari hawa waliopigana Moroni komoro?

Askari hawa walioituliza Kongo DR?

Askari hawa wenye sifa duniani kote ya kulikomboa bara la afrika?

Wanafanyishwa kazi ya kutafuta shilawadu?

Darasa alisema "too much"

Ni udhalilishaji mkubwa wa jeshi letu.
 
Polisi shilawadu na wanajeshi shilawadu
Mkulu nae shilawadu kwahiyo wananchi nao ni shilawadu

Ha ha ha ha
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] shilawadu nation
 
alafu si mnajua zile tumbua tumbua style za weekend za mkuu?[emoji28]
 
This Bashite has proved kwangu leo that it's very true alipata zeros in everything, pathetic

Tulivyokuwa tunapiga humu makelele kuwa hafai na hatoshei mlidhani tulikuwa tunapoteza tu muda? Ukiona namchukia au simpendi Mtu fulani jua kuwa ana matatizo, hafai na ana mapungufu makubwa na yasiyovumilika.
 
Asimtumbue kwanza Mpaka Mange kimambi na Gwajima wamalizie makandokando yake!
Kubeba gunia la misumali kichwani kazi!
 
Yani leo mpaka imefika saa nne sijatoka kitandani. Yani refresh tu JF nakutana na maubuyu mapya. Sasa nasikia Bashite yupo Kwa mkulu, mara huko kwa gwajima moto unawaka. Clauds nao wamejifungia ofisini wote wanamtafta mchawi nani.
Clouds ni brand kubwa lakini imeingia doa
 
Jaman nilikua nataka atumbuluwe na mim ila NIMEINGIWA NA HURUMA Mkulu ampe kaz nyngne [emoji20][emoji20]
 
Binafsi, naipongeza kazi aliyoifanya RC ya kuanzisha vita dhidi ya madawa ya kulevya.

Lakini, kama kweli amevamia kituo cha habari na kuwalazimisha maaskari kupiga wafanyakazi basi hilo ni kosa na hata akitumbuliwa ni sawa.

Japo, tukumbushane style, hii ya leo inaweza ikawa ya kuonesha kuwa RC hana shida ya vyeti isipokuwa ametumbuliwa kwa kosa la kuvamia kituo cha habari na siyo kwa kosa la vyeti kama ni kweli hana.

Kwa hiyo mbinu ya kuvamia kituo inaweza ikawa imetumiwa kama Waziri wa Mambo ya ndani alvyotumbuliwa kwa mfumo wa " kitwangalization" ya viroba na kuhutubia bungeni.

Ila katika yote, RC amefanya kazi nzuri nyingi mfano ya drug dealers.

Na hapo sijaelewa ubuyu wa kwa Gwajima kama ni mchachu au umetiwa sukari?

Naagiza popcorns , mtoto wa kishua naendelea kumega hadi mwisho wa hii filamu.

Japo, naona starling anaweza akazimia kwenye maua.
 
Rais wengine anawatimua juu kwa juu huyu anaitwa akaingee na babake. Haya bana
 
Sio kwamba wanaenda kumumunya ubuyu kwa pamoja?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom