Tetesi: Rais amwita Makonda Ikulu asubuhi hii

Tetesi: Rais amwita Makonda Ikulu asubuhi hii

Status
Not open for further replies.
Yaani mnajaza server kusubiri Makonda atumbiliwe? Makonda ni mwiba, ataendelea kuwachoma kwa mda mrefu sana. Mbaka mtakapokubali kama mmeshindwa atakua amewaletea athari kubwa kisaikolojia.
Yaani tangu una amka mbaka unalala yaani akiliinamfikilia makonda tu.
 
Not good enough! Kuna watu wengi sana hawakuwahi kuitwa walitumbuliwa juu kwa juu, huyu kama ameitwa basi ni mwendo ule ule wa kumbeba bata.
 
Mmmmmh hiyo ita kuwa kali coz huyo wanae mwita mange ametoa kauli kali saana kwenye ukurasa wake wa instagram kwamba ata wataja mabinti wote waliozaa na.....
.............. Noma saana. Yaani
 
Ningekuwa mkuu wa majeshi hao ingekuwa saa hii wako lockup
ngoja pia tuone Generali Mabeyo yuko serious na kazi au nae ndo walewale,

angekuwa yule aliyepita tayari tamko lingeshatoka,
maana ama wale walikuwa wanajeshi ama wamevaa kijeshi ambalo ni kosa pia
 
Za Jumapili wadau!

Imevuja;
Toka ndani ya viunga vya Magogoni ni kuwa Rais kamuita Mkuu wa Mkoa wa Dsm kwa mazungumzo/mahojiano.

Haijajulikana wazi sababu hasa ya kuitwa kwake, more news to come!

Source: mtu wa karibu na Mkuu wa mkoa
Undertaker, ivi unafanyaje kuona posts za mange instagram, nipe elimu please
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom