Tetesi: Rais amwita Makonda Ikulu asubuhi hii

Tetesi: Rais amwita Makonda Ikulu asubuhi hii

Status
Not open for further replies.
Naona RC Makonda aliwagusa watu wengi kutangaza watuhumiwa wa biashara ya madawa ya kulevya, kiasi wanatamani na kumwombea mabaya.

VITA INOGILE na siyo ngoma ati
 
Na yule baba asivyokuwa na simile atalianika hadharani sasahivi.
 
  • Thanks
Reactions: Luv
Huyu mkaka asipoangalia atatumbuliwa na usikute j kusaga kashampandia hewani mkulu kumuhadithia alichokifanya nwanae usiku wa jana katika ofisi za clouds

Hivyo hapo anaenda kuulizwa ajiielezee vizuri
Hao wote ni kitu kimoja ila namuomba rais amfukuze kazi huyu makonda
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom