Tetesi: Rais amwita Makonda Ikulu asubuhi hii

Tetesi: Rais amwita Makonda Ikulu asubuhi hii

Status
Not open for further replies.
Poise nipe namba ya halopesa nikutumie hela ya soda...you are such a genius!


Mkuu, asante nipo mbali nipo New Zealand muda huu ni 8:29PM , ila nakula popcorns huku naangalia hii movie kwa umakini sana.
 
Za Jumapili wadau!

Imevuja;
Toka ndani ya viunga vya Magogoni ni kuwa Rais kamuita Mkuu wa Mkoa wa Dsm kwa mazungumzo/mahojiano.

Haijajulikana wazi sababu hasa ya kuitwa kwake, more news to come!

Source: mtu wa karibu na Mkuu wa mkoa
Tatizo hapa ni scratch my back will scratch yours
Makonda anatumiwa na Mkulu
Kumwacha ghafla kabla ya kuandaa channel nyingine Mkulu anaona itaharibu mipango yake
Makonda sio MTU WA kaskazini kwa hiyo kumwondolea post kunahitaji umakini Mkubwa
 
Ndio kumekucha hivyo,nimetupa kijembe nilichokua nalimia pembeni ya nyumba kusubiri hizi tetesi zitakuwa za ukweli au zitaishia hivyo hivyo!
Usisahau kumwambia mama j akuletee stuli, chai iliyokolea mchaichai na mihogo ya kuchemsha
 
Kodi zetu tunazohamasishwa kulipa zinatumika kuwabeba askari waliovaa nembo za taifa viunoni na vichwani tena wakiwa na bunduki,waende clouds kufuatilia video ya shilawadu?

Askari hawa waliopigana vita ya kagera?

Askari hawa waliopigana Moroni komoro?

Askari hawa walioituliza Kongo DR?

Askari hawa wenye sifa duniani kote ya kulikomboa bara la afrika?

Wanafanyishwa kazi ya kutafuta shilawadu?

Darasa alisema "too much"
Kwan alienda na jwtz au jkt??
 
HAPO NDO MTAJUA KUWA GWAJIMA NI ASKOFU.USICHEZE NA WATU WENYE MAONO.
 
Makonda anachukiwa mpaka na watu wasiomjua na hasiowajua
 
Shigha vigwirane kangi [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] apa ngoja nichanganye tu na kilugha maana patam ndo kwanza nimejiunga halachachi[emoji41] [emoji41] Naangalia kwa ukarbu wa hali ya juu
Shinda mphoa
 
Ni dhahiri haya mambo hayajaanza leo na hayataisha hili litakapoisha.

Mangapi kama haya yanalipiwa na kodi tunazoambiwa ni uzalendo kulipa kwa maendeleo yetu?
 
Unathibitisha vipi ile siyo clouds tv studio... Na rc anaenda wap saa tano kasoro usku na wajeda??
Ni rahisi kuthibitisha sio maana hamna kielelezo chochote kinachoonesha ni clouds tv!
Na Umejuaje ni saa tano??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom